Mzee Mangula ameongea kwa Code, wana ishara tumekuelewa

Mzee Mangula ameongea kwa Code, wana ishara tumekuelewa

Naona mnaongea kimafumbo kama mimama mishangingi ya uswahilini andunje ndio nani?
Huyo hapo
images%20(33).jpg
 
Jinsi maccm wana roho mbaya unaweza kukuta anamvizia mzee wa watu ammalizie.

Toka leo hii Mzee Mangulla apewe ulinzi maalum na asile wala kunywa nje ya nyumbani kwake!! Siwaamini hawa mafisadi wa mtandao sio watu wazuri wanaweza kuua kwa kusaka vyeo tu!!!

Walimuondoa Ipyana Malecela kama mchezo kwa kuuusaka uenyekiti wa vijana!!!
 
Na 'Mangula' ndiye mwana CCM 'kiongozi' kapuku

Wengine wote utasikia ana shule, jengo, fremu ya kupangisha, na magari mbayo amenyanganya chama
Napendekeza mama ikimpendeza anafaa kuwa makamu wake kwa wakati huu.
 
Mzee Mangula alisisitiza sana umuhimu wa watawala kufanya kazi kwa kuzingatia ilani ya CCM yenye kurasa 303 na kwa na kufanya maamuzi shirikishi. Katika hotuba yake, alirudia Mara kadhaa kutaja kamati kuu na halmashauri kuu ya CCM akimaanisha kuwa ndivyo vyombo vya maamuzi. Wengine hotuba zao zilikuwa kwa asilimia kubwa ni uchekeshaji tu!
 
Nimeona karudia Aliyosema Dodoma lakini sijaona izo code of conduct
 
Halafu ni vema wastaafu wakipewa nafasi wawe wanaongea kwa muhtasari sio mtu anatumia zaidi ya saa moja kutusimulia hadithi hata ambazo hazihusiani na tukio.

Mzee Mangula yeye alipopewa nafasi moja kwa moja alienda kwenye mada na aligonga nyundo kwelikweli.

Mama yetu SASUHA Rais wa JMT yeye alihutubia sio zaidi ya dakika 20 na akaeleweka kiunagaubaga. Hongera sana Mama yetu na hatuna shaka kuwa hekima na busara ulizojaliwa na mwenyezi Mungu vitaendelea kukuonesha kuwa kiongozi wa mfano na kuigwa.
 
Mimi mwelekeo wa nchi hii nitaanza kuujulia mwelekeo wake baada ya Jina la makamu wa RAIS kutoka.
 
Naandika bila kumung'unya maneno Mangula anastahili adhabu kubwa kabisa hapa duniani na hata mbinguni.
Mangula Ni miongoni mwa wauaji,dhulumati na watu katili kabisa waliowahi kuishi katika dunia hi,hastahili huruma yoyote,Ni mnafiki mbele za Mungu na mbele za binadamu,ameshirki dhambi nyingi Sana katika nchi hii kwa maslahi ya CCM sio taifa.
Wizi wa EPA,
Wizi au chaguzi zote 2015 za marudio,mitaa na chaguzi za mkuu za 2015 na 2020.
Watu wamedhulumiwa majimbo,wametekwa,wamepotezwa,wameuwawa,matokeo feki wizi wa kura,yeye kapiga kimya tu.
TL kapigwa marisasi yumo chamani tu.
Alijua Nia ovu ya kutaka kumwondoa Do Slaa,kapiga kimya tu,na Slaa alimtaja.
Huyu Mzee Ni mnafiki na anaishi ndani ya genge hatari Kabisa hapa duniani yaani CCM.
Hana usafi wowote.huwezi ukawa msafi kwa CCM tu huku wengine wanateswa na CCM.
Kuwekeana ya panya ndani ya CCM ndio utamaduni wao wakizinguana huyo Mwendazake mwenyewe alishaonjeshwa ,chezea Mafioso wewe.!
Mangula sio msafi anatuhuma za wizi wa EPA.
 
Mzee katuwa Zigo la misumari, halafu nimemuona msibani yule andunje waliesema ndio alimuwekea sumu.
Yule mi kweli simuelewi, kuna sehemu unamuona kala suti anaongoza wengine, nilimuona pale uhuru pia na Mwanza, jana nimemuona akirusha udongo pia.....anewei inawezekana ni multipurpose
 
Acha kumchafua mzee wa watu. Nyie ndio mlio mpa sumu

Back
Top Bottom