Mzee Mangula ameongea kwa Code, wana ishara tumekuelewa

Mzee Mangula ameongea kwa Code, wana ishara tumekuelewa

kuna hekaya za ALi Nacha nyingi sana ktk huu uzi.. lakini mimi binafsi kumbukizi bora kabisa ni Mangula na kalamu yake ya Sh mia 3 pale Dodoma vikao vya uteuzi 2015.
 
Codes zipi anaongea kwa woga na kuashiria wasiwasi wa kufanikiwa kwa miradi aliyoanzisha Magu.
 
Mbona mapambio...! Sentensi zote ameongea ameongea ...code code... Dooh
 
Bahati mbaya hata huyo andunje simjui...mm nilikua naweka rekodi clear BM na mwendazake zilikua haziiivi kabisa JM na NN wenyewe walijishusha wakaomba radhi ila BM aling'ata meno hadi mwendazake anajiondekea sijui hata kama katuma salamu za pole kweli jasusi ana moyo kuntu mwee, Sababu ya kueleza haya yote ni kuwa mtoa comment hapo juu alitaka kumuhusisha mwendazake na tuhuma za Mangula kuwekewa sumu kitu ambacho si kweli.Baada tu ya kusikia mzee kapigwa ya panya mara moja aliagiza mzee apewe ulinzi na G..U walitekeleza hilo, angekua anataka kumkalisha asingekua na haja ya kumpa ulinzi....Sipendi uongo mimi bwana Chura haya tuendelee na mengineyo sasa.
Labda ungeelezea na hatua alizowachukulia hao waliompa cha panya mzee mangula
 
Leo mangula kaongea kwa Code nzito sana watu tunaojua saikolojia tumeelewa

Ujumbe wa Mangula ulikua mubashara sana na wenye kumelewa chamani mmelewa

Leo nimeprove yangu ya moyoni

Tunaolewa tumemuelewa mangula na nimeprove yale ya nyuma huko ccm

Kiukweli maneno ya mangula yamenigusa yamaanisha ujumbe mzito sana kwa taifa

Mpongezeni mangula kwa kuwa na moyo safi na moyo wa busara na uvumilivu amejitahidi sana

Ameongea kwa code na aidha tafsida ubarikiwe mangula una moyo safi na bado ukahudhuria msiba huu mzito ubarikiwe

Maneno ya mangula pia mengine yanatia moyo kwamba ilani itatekelezwa vizuri sana zaidi nimependa kaongea kwa code
Alisema nini wewe acha kuzunguka zunguka! Watu tulikuwa hatuna muda wa kupoteza kuangalia TV
 
huyu mzee ameiva kwenye siasa na utumishi. hawa kina Mwigulu, Kigwangala sijui waliwaokotea wapi
 
Mangula anataka aaminishe watu kuwa Ilani itekelezaji wake Haiitaji mtu anaejielewa bali maandishi tu ambapo sio kwelii...!!

Miaka mingapi hiyo Ilani ilikuwepo hayajawahi kufanywa mambo makubwa kama aliyofanya Magufuli? Mzee kimsingi anataka kuonesha Magu hakufanya lolote jipyaa yani of which ni Uongoo na chuki tu. Shame shame..

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Mangula anataka aaminishe watu kuwa Ilani itekelezaji wake Haiitaji mtu anaejielewa bali maandishi tu ambapo sio kwelii...!! Miaka mingapi hiyo Ilani ilikuwepo hayajawahi kufanywa mambo makubwa kama aliyofanya Magu??? Mzee kimsingi anataka kuonesha Magu hakufanya lolote jipyaa yani of which ni Uongoo na chuki tu. Shame shame..

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
JPM alikuwa mtekelezaji
Alikuwa anapenda kuona
Matokeo

Ova
 
Mzee katuwa Zigo la misumari, halafu nimemuona msibani yule andunje waliesema ndio alimuwekea sumu.

Kale kajamaa kenye kibiongo hata mie nilikaona.

Halafu kalikuja kutoa heshima za mwisho na kutia mchanga kaburini kwa Mzee eti akiwa kama member wa familia ya Magu.

Yaani kalivyo tu kama kinyamkera lazima uamini kuwa ni kachawi na kashirikina.
 
Uzuri ni kwamba hata wauaji nao wanakufa
 
Na 'Mangula' ndiye mwana CCM 'kiongozi' kapuku

Wengine wote utasikia ana shule, jengo, fremu ya kupangisha, na magari mbayo amenyanganya chama
Wewe umenielewa vzr sana, ndiyo maana nimesema mwanachama ni yeye peke yake wengine ni watu kibao
 
Bahati mbaya hata huyo andunje simjui...mm nilikua naweka rekodi clear BM na mwendazake zilikua haziiivi kabisa JM na NN wenyewe walijishusha wakaomba radhi ila BM aling'ata meno hadi mwendazake anajiondekea sijui hata kama katuma salamu za pole kweli jasusi ana moyo kuntu mwee, Sababu ya kueleza haya yote ni kuwa mtoa comment hapo juu alitaka kumuhusisha mwendazake na tuhuma za Mangula kuwekewa sumu kitu ambacho si kweli.Baada tu ya kusikia mzee kapigwa ya panya mara moja aliagiza mzee apewe ulinzi na G..U walitekeleza hilo, angekua anataka kumkalisha asingekua na haja ya kumpa ulinzi....Sipendi uongo mimi bwana Chura haya tuendelee na mengineyo sasa.

Kuna quote moja ya Jasusi inasema hivi” unlike stomach, brain does not warn you when it is empty”
 
Kale kajamaa kenye kibiongo hata mie nilikaona.

Halafu kalikuja kutoa heshima za mwisho na kutia mchanga kaburini kwa Mzee eti akiwa kama member wa familia ya Magu.

Yaani kalivyo tu kama kinyamkera lazima uamini kuwa ni kachawi na kashirikina.
Yule andunje anaitwa Mr. Magoti.
 
Eeeenh, shule hizi?

Haya nawe tumekuelewa sana.

"ma'Saikologia" ndio mpo hivi?
 
Kusema lile la ukweli ,kwa kufikiria mustakabali wa nchi yetu baada ya huu msiba mzito, Mzee Mangula ndiye hasa aliyeongea yale ambayo yalikuwa yanawasha makoo ya watanzania wengi.Wazungumzaji wengi walikuwa ni waombolezaji tu ambalo vilevile siyo jambo baya kwa sababu ndiyo shughuli yenyewe hasa iliyowapeleka lakini mzee Mangula aliisafisha barabara kwani wengi waliamini kazi zote zilizofanyika na zinazoendelea ni mawazo na nguvu ya mtu mmoja tu.
Huyu mzee bado ni hazina kubwa.Bado ana nguvu na kauli zilizonyooka. Nguvu ya chama bado ipo.Tunamhitaji sana azidi kuwa ndani ya chama katika kipindi hiki kipya.
 
Back
Top Bottom