Mzee Mangula ameongea kwa Code, wana ishara tumekuelewa

Mzee Mangula ameongea kwa Code, wana ishara tumekuelewa

unadanganya watu mzee tatzo watanzania tunauwezo mkubwa sana wa kuviamini vitu na kuvichukia pasipo hata kuviona wala kuvishuhudia.in short umbea tunaupa kpaumbelee na kuuamini....au tukuulze ww ulimskia nani

Wambeya: Rais anaumwa, amelazwa.

Waziri Mkuu: Rais ni mzima wa afya anachapa kazi.

Baada ya muda mfupi:
Rais akafa, na ikatangazwa alikuwa amelazwa muda Waziri Mkuu anatoa taarifa.

Swali: Kwa nini wambeya wasiaminike?
 
Bahati mbaya hata huyo andunje simjui...mimi nilikua naweka rekodi clear BM na mwendazake zilikua haziivi kabisa January Makamba na Nape Nauye wenyewe walijishusha wakaomba radhi ila Benard Membe aling'ata meno hadi mwendazake anajiondekea sijui hata kama katuma salamu za pole kweli jasusi ana moyo kuntu mwee😰,

Sababu ya kueleza haya yote ni kuwa mtoa comment hapo juu alitaka kumuhusisha mwendazake na tuhuma za Mangula kuwekewa sumu kitu ambacho si kweli.

Baada tu ya kusikia mzee kapigwa ya panya mara moja aliagiza mzee apewe ulinzi na G..U walitekeleza hilo, angekua anataka kumkalisha asingekua na haja ya kumpa ulinzi.

Sipendi uongo mimi bwana Chura haya tuendelee na mengineyo sasa.
Povu la nini ?

Au wewe ndio yule andunje?
 
Achana nao,safari hii wamelikoroga wenyewe. Kuna moja alikuwa kabanwa baada ya umeme wa mzee kupiga 'shoti'... Kalijifanya yeye ndo katiba... Mabeyo hoyee

Kuna wakati Trump aliwai sema Watu weusi hawana Akili, wanaistaili kutengwa na kutawaliwa tena miaka 100 kidogo watajitambua na kujijua. Kupitia wewe nimeamini kweli wewe sio binadamu wa kawaida. Unashangilia mtu kufa?
 
Na 'Mangula' ndiye mwana CCM 'kiongozi' kapuku

Wengine wote utasikia ana shule, jengo, fremu ya kupangisha, na magari mbayo amenyanganya chamani
Kiwango cha maadili ya uongozi cha Mangula ni cha juu mno!

Viongozi wenye maadili ya kiwango chake ni wachache mno! Wengi ni drama tu!
 
alitaka kumuhusisha mwendazake na tuhuma za Mangula kuwekewa sumu kitu ambacho si kweli
Sasa kumbe tuhuma, sasa ukweli ni upi?

Hili linafanana na la Lissu kutandikwa risasi siku kadhaa kabla ,baada ya mwendazake kusema maneno fulani yenye mushkeli juu ya 'wasaliti' wa nchi.

Ni tuhuma kwamba yeye ndio mastamind wa lile scene.
R.I.P JPM.
 
Kuna wakati trump aliwai sema Watu weusi hawana Akili,wanaistaili kutengwa na kutawaliwa tena miaka 100 kidogo watajitambua na kujijua,Kupitia ww nimeamini kweli ww sio binadamu wa kawaida.Unashangilia mtu kufa??
Nimeshangilia wapi kifo cha JPM?
 
Bahati mbaya hata huyo andunje simjui...mm nilikua naweka rekodi clear BM na mwendazake zilikua haziiivi kabisa JM na NN wenyewe walijishusha wakaomba radhi ila BM aling'ata meno hadi mwendazake anajiondekea sijui hata kama katuma salamu za pole kweli jasusi ana moyo kuntu mwee, Sababu ya kueleza haya yote ni kuwa mtoa comment hapo juu alitaka kumuhusisha mwendazake na tuhuma za Mangula kuwekewa sumu kitu ambacho si kweli.Baada tu ya kusikia mzee kapigwa ya panya mara moja aliagiza mzee apewe ulinzi na G..U walitekeleza hilo, angekua anataka kumkalisha asingekua na haja ya kumpa ulinzi....Sipendi uongo mimi bwana Chura haya tuendelee na mengineyo sasa.
Lakini aliyetuhumiwa ni andunje siyo mwendazake.
 
Unazingua Mkuu... Maneno yako wapi!?
 
Back
Top Bottom