Umati mkubwa sana. Sijui Chadema walifanya trick photography? Lakini kwa crowds Kama hizi huyu anaweza Rais wakati wowote kwa sababu anaweza kuiunganisha nchi.
Wamempiga chini wanasema Hana uhusiano nzuri na Nyerere, lakini utaona familia ya Nyerere haina uhusiano nzuri na hao wanaosema wanaipigania.
Hapa ukitaka Rais Samia ajiuzulu for any reason,huyu ndiye atakuwa the best candidate kumalizia hii awamu.
Mtufafanulie nyie Chadema mliokuwa mkisema kipau mbele cha kwanza elimu, cha pili Elimu na cha Tatu Elimu mlipokuwa mkizunguka kutapeli watanzania bila hata kufafanua mkidhani watanzania wajinga watawapa kura kwa hiyo slogan ya kitapeli
Haya fafanua mliposema kipau mbele Chenu Elimu mlimaanisha elimu gani ?
If you were really a believer in minding own business, you could not have posted in response to my post! If you fail to mind your own business how can you expect others to do?
Siyo siri mzee mamvi tumemmiss sana kwenye siasa za Tanzania, kulikoni? Nani ana taarifa zake za hivi karibuni? Je ameamua kukaa kimya au ameamriwa kukaa kimya?
Utakufa masikini. Hakuna mwanasiasa ambayr yupo kwa ajili ya tumbo lako. Hata wao wanapigania ustawi wa familia zao, watoto wao, wajukuu zao na watoto wa wajukuu zao.
Hata yule alikuwa anajinasibu ni wawanyonge wakati amechuma tangu akiwa waziri unakumbuka?
Utakufa masikini. Hakuna mwanasiasa ambayr yupo kwa ajili ya tumbo lako. Hata wao wanapigania ustawi wa familia zao, watoto wao, wajukuu zao na watoto wa wajukuu zao.
Hata yule alikuwa anajinasibu ni wawanyonge wakati amechuma tangu akiwa waziri unakumbuka?
Yupo .wazuri hawafi kama mlivosikia kule dodoma mzee moja mwenye jina ukisema uongo na mwisho linaanza mwezi.
Huyu mzee aliyesema hayo sasa ana uraia pacha duniani na kuzimu