Siyo siri mzee mamvi tumemmiss sana kwenye siasa za Tanzania, kulikoni? Nani ana taarifa zake za hivi karibuni? Je ameamua kukaa kimya au ameamriwa kukaa kimya?
Elimu ni nini!!?
Umekariri elimu ni ya zaidi ya sekondari!!??
Kweli Mh. EL aliposema elimu ndiyo kipaumbele chake alikuwa sahihi kutokana na watu kama wewe mnaoamini vyeti ndiyo elimu.
Umati mkubwa sana. Sijui Chadema walifanya trick photography? Lakini kwa crowds Kama hizi huyu anaweza Rais wakati wowote kwa sababu anaweza kuiunganisha nchi.
Wamempiga chini wanasema Hana uhusiano nzuri na Nyerere, lakini utaona familia ya Nyerere haina uhusiano nzuri na hao wanaosema wanaipigania.
Hapa ukitaka Rais Samia ajiuzulu for any reason,huyu ndiye atakuwa the best candidate kumalizia hii awamu.