Mzee Kingunge Ngombale Mwiru azungumza kuhusu Tundu Lissu

Kuna watu wajinga sana wanaandika bila evidence kingunge ameleaje ccm kwa zaidi ya miaka 40 wakati alipoondoka ccm yenyewe ilikuwa haijafikisha miaka hiyo
 
Kingunge atajidhalilisha sana asiporudi CCM.....CCM imemlea mpaka kawa babu leo anakimbilia kwa wapiga dili? ajitathmini vizuri
AchaUjinga. Kingunge ndiye Baba wa CCM, mtoto hawezi mpa laana baba. KINGUNGE ANAJITAMBUA ni Mzee wa umri lakini akili yake bado Kijana.
 
I agree with you....Ni kosa kubwa kimaisha...Kwa mtu kama Kingunge kufanya kosa kama lile in life tena basi very late in life, binafsi ilinishangaza mno ....There was no point at all ya/kwa yeye kuhama CCM...Angeweza kubaki CCM hata kama ilimuudhi pengine, na akanyamaza kimya asiseme kitu....
Kwa hiyo unamaanisha angekuwa mnafiki kama ulivyo wewe, lkn ujue wengine hawakuzaliwa hivyo.

Ni wazi unafiki ni sehemu ya itikadi yenu hilo liko wazi wala siku hizi haliihitaji mjadala!
 
Who cares? Amkubali au asimkubali hizo ni fikra zake.

Alimkubali Lowassa mpaka akajiondoa CCM na kumfuata CHADEMA, what happened?

Tanzania is bigger than an individual opinion and twisted mind.

Kilicho cha muhimu kwa sasa ni kumuombea ili apone haraka na kurudi katika hali yake yenye afya njema.
Nimeipenda hii .. TANZANIA IS BIGGER THAT INDIVIDUAL.......Acheni kutumia Nguvu na Jeshi ili uone nini Watanzania wanataka....... Acha kutujaza ujinga wakati mmebaka Demokrasi.

Je Kingunge is not Tanzanian ???

Je Chadema/Cuf or UDP is not Tanzanian parts ???

Only CCM has got right to exist in Tanzania ??

RWANDA WALIANZA NA UBAGUZI HUU WA KIJINGA MWISHO TULIONA YALIYO TOKEA....tujifunze kupitia historia na tijirekebishe.
 
Kwa hiyo unamaanisha angekuwa mnafiki kama ulivyo wewe, lkn ujue wengine hawakuzaliwa hivyo.

Ni wazi unafiki ni sehemu ya itikadi yenu hilo liko wazi wala siku hizi haliihitaji mjadala!

Ok,,,inawezekana uko sahihi..huo ndiyo mtazamo wako..unaamini kuwa yeye hakutaka kuwa mnafiki..ok..inaezekana unaamini pia kuwa wale walioko CCM ni wanafiki na kwamba pengine wale walioko Chadema siyo wanafiki...hayo ni mawazo yako wewe...binafsi nayaheshimu mawazo yako..lakini wapo wengine ambao wanaweza wakamuona ni msaliti kwa chama chake cha zamani...mimi siko huko ..mimi namuona he made a mistake in life...naamini uamuzi wake ulikuwa ni wa pupa, it was a miscalculation..watu hufanya makosa na baadaye huja ku-regret...naamini comrade Kingunge he made a mistake and may be he is now regreting...hayo ni mawazo yangu...
 
Kingunge atajidhalilisha sana asiporudi CCM.....CCM imemlea mpaka kawa babu leo anakimbilia kwa wapiga dili? ajitathmini vizuri
Kama ndugu yako akiwa mchawi na ukamwambia aache uchawi sidhani kama utaendelea kufungamana nae...
 
..Mzee Kingunge amefanya kazi na viongozi wengi nchi hii.

..pia amewalea kiitikadi viongozi wengi waliojiunga na ccm wakati akiwa chief strategist wa chama na mnadhimu wa kitengo cha itikadi.

..Mzee Kingunge ametambua kipaji cha TL kama kiongozi na mpigania haki za waTanzania.

..Ukumbuke TL hajawahi kuwa ccm lakini bado Kingunge amemuona na kutambua kipaji na mchango wake.
 
Kama wanapanga kuongeza muda kwa kubadilisha katiba naona ni Bora Lisu arudi mapema.
 
Kama wanapanga kuongeza muda kwa kubadilisha katiba naona ni Bora Lisu arudi mapema.

..kwa maoni yangu TL asitie pua yake kwenye suala hili.

..CCM wana hasira kali sana na TL.

..mara nyingi CCM hupenda kufanya kinyume na ushauri anaotoa TL, hata kama kwa kufanya hivyo wanawaumiza wananchi.
 
Kingunge atajidhalilisha sana asiporudi CCM.....CCM imemlea mpaka kawa babu leo anakimbilia kwa wapiga dili? ajitathmini vizuri
Mawazo ya kipumbavu. Kila MTU ana Uhuru wa kujiunga na Chama chochote kama ambavyo wewe umefanya.
 
..kwa maoni yangu TL asitie pua yake kwenye suala hili.

..CCM wana hasira kali sana na TL.

..mara nyingi CCM hupenda kufanya kinyume na ushauri anaotoa TL, hata kama kwa kufanya hivyo wanawaumiza wananchi.

JokaKuu ,
Mkuu,

Duuuh.
Basi tena.
 
..Mzee Kingunge ameacha pengo kubwa sana ndani ya ccm.

..kukosekana kwa watu wanaojua siasa ndani ya ccm ndiyo kumesababisha chama hicho kutegemea Polisi, mapanga, na risasi, kujibu hoja za wapinzani.

..Kingunge pia alikuwa mlezi wa umoja wa vijana wa ccm. Leo hii hayupo, tunashuhudia uv-ccm wakitoa matamko yanayokinzana na misingi na historia ya chama hicho.

.
 
Kingunge atajidhalilisha sana asiporudi CCM.....CCM imemlea mpaka kawa babu leo anakimbilia kwa wapiga dili? ajitathmini vizuri
Kuna wengine wanafunuliwa siku za mwishoni. Hakuna mwenye ahadi ni lini atafunuliwa ukweli.
 
Who cares? Amkubali au asimkubali hizo ni fikra zake.

Alimkubali Lowassa mpaka akajiondoa CCM na kumfuata CHADEMA, what happened?

Tanzania is bigger than an individual opinion and twisted mind.

Kilicho cha muhimu kwa sasa ni kumuombea ili apone haraka na kurudi katika hali yake yenye afya njema.
Naheshimu maoni yako yasiyo na heshima ni matumaini yangu utajikita kutoa hoja zenye mashiko.
 
Back
Top Bottom