Mzee Kinana ulikuwa Unapeleka wapi Hii Kitu? Picha

Mzee Kinana ulikuwa Unapeleka wapi Hii Kitu? Picha

Status
Not open for further replies.
Mkuu hapo kwenye red inadhibitisha wewe ni muathirika wa Div 5.
Kwa wale ambao hawakutega shule watakubaliana na mimi kuwa kwenye Geograph Subject kuna Topic inaitwa "Map reading & Photograph"
Nashauri wizara ya elimu iongeze mpaka Div 7 ili watu wapate vyeti.

Wewe ndo kuku kabisa hakuna somo hapa nchini linaloitwa "Geograph" Bora nihamie Mwezini niwe jirani na Nyota nikimbie uharo huu!
 
Alikuwa anakaa vizuri ili apigwe picha! UNAFKI MBAYA SANA
 
Ukitazama hiyo picha unapata ujumbe kuwa mzee Kinana alikuwa anapeleka tofali sehemu anayoijua yeye wakati wengine walikuwa wakiipeleka kwenye ujenzi.
mbona ameamua kutokomea na tofali ? Au inamaanisha nini hii, tutafakari pamoja .

CCM ina kazi nyingi na matofali. Labda alikuwa anawapelekea hawa jamaa!

fg%202.jpg
 
huu utoto, na hyo kweli mvoa mada umeona ni jambo la kuweka?

uwezo mdogo ndo mana huwezi kujua.hapa inaonyosha CCM walivyo matapeli,kujionyesha wapo na sisi kumbe wapi.ukuta unaojengwa upo huku yeye anapeleka tofa kule,kama co la kupigia picha ni nini.unachofanya jangili ni sawa na kutema mate kulia na kufukia kushoto.kingine hii ni kebehi.wao ofisi zao na nyumba zao zipoje
 
anauza sura aonekane mzalendo kumbe anafaidi tembo wetu
 
Waliofanya oral interview erolink last week vodacom posts hamjaitwa tena?
 
Ha ha ha Magamba usipime,wanastaili nyingi kuomba huruma ya wapigakura kumbuka ile nyingine ya kupiga magoti kusalimia vikongwe
View attachment 124770Ukitazama hiyo picha unapata ujumbe kuwa mzee Kinana alikuwa anapeleka tofali sehemu anayoijua yeye wakati wengine walikuwa wakiipeleka kwenye ujenzi.
mbona ameamua kutokomea na tofali ? Au inamaanisha nini hii, tutafakari pamoja .
 
Kuna kitu kinaitwa map reading na Picture Reading.Inaelekea mtoa maada picture reading ulipata sifuri.Angalia hapo alivyolala umbo kupinda kuelekea kushoto akikata kona kuelekea ilipo ngazi alipeleke kwa huyo aliye juu ya ngazi anayewapa mafundi fundi pale juu wanaojenga.Huyo juu ya ngazi kazi kazi yake ni kupokea kwa waliojitwika chini na kuwapasia mafundi.Wanafanya kazi kwa ushikiano.CCM hoyee.

your correct
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom