Mzee Kinana ulikuwa Unapeleka wapi Hii Kitu? Picha

Status
Not open for further replies.

Haki sawa

JF-Expert Member
Oct 3, 2007
4,780
3,208
image.jpg Ukitazama hiyo picha unapata ujumbe kuwa mzee Kinana alikuwa anapeleka tofali sehemu anayoijua yeye wakati wengine walikuwa wakiipeleka kwenye ujenzi.
mbona ameamua kutokomea na tofali ? Au inamaanisha nini hii, tutafakari pamoja .
 
View attachment 124770Ukitazama hiyo picha unapata ujumbe kuwa mzee Kinana alikuwa anapeleka tofali sehemu anayoijua yeye wakati wengine walikuwa wakiipeleka kwenye ujenzi.
mbona ameamua kutokomea na tofali ? Au inamaanisha nini hii, tutafakari pamoja .

Kuna kitu kinaitwa map reading na Picture Reading.Inaelekea mtoa maada picture reading ulipata sifuri.Angalia hapo alivyolala umbo kupinda kuelekea kushoto akikata kona kuelekea ilipo ngazi alipeleke kwa huyo aliye juu ya ngazi anayewapa mafundi fundi pale juu wanaojenga.Huyo juu ya ngazi kazi kazi yake ni kupokea kwa waliojitwika chini na kuwapasia mafundi.Wanafanya kazi kwa ushikiano.CCM hoyee.
 
Kuna kitu kinaitwa map reading na Picture Reading.Inaelekea mtoa maada picture reading ulipata sifuri.Angalia hapo alivyolala umbo kupinda kuelekea kushoto akikata kona kuelekea ilipo ngazi alipeleke.
Alikoweka mgongo ndio tofali zilikuwa zinapelekwa , sasa yeye alikuwa anapeleka wapi? Hata kama akitaka kupiga picha , mpiga picha Angekaa mbele yake
 
Ukitaka kujua anaelekea wapi kwanza ujue hilo tofari alichukua wapi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom