Mzee Kinana ulikuwa Unapeleka wapi Hii Kitu? Picha

Status
Not open for further replies.
Dr Slaa aliwahi kushiriki shughuli gani za ujenzi wa Taifa?

Mnadanganywa kama mitoto!Yaani ziara ya siku moja baada ya miaka nane,halafu mnamsifia?Dr Slaa hawezi hawezi fanya ulaghai wa namna hii!Angalia sasa alivyopozi apigwe picha ili zikawekwe front page ya gazeti la Uhuru!
Acheni siasa za kilaghai!Hii ni zaidi ya bongo muvi!
 
Kuna uwezekano uzito wa tofali umemfanya ayumbe kidogo, kwenye kutafuta 'balance' ndio mpiga picha akapata hiyo taswira...

Pia kuna uwezekano alinyanyua tofali kwa minajili ya kupata picha tu, hivyo hakujali sana uelekeo aliopaswa kupeleka tofali...

Pamoja na hayo yote sidhani kama kuna jambo la msingi sana kuweka mjadala kama huu...hauna mashiko
 
Kuna kitu kinaitwa map reading na Picture Reading.Inaelekea mtoa maada picture reading ulipata sifuri.Angalia hapo alivyolala umbo kupinda kuelekea kushoto akikata kona kuelekea ilipo ngazi alipeleke kwa huyo aliye juu ya ngazi anayewapa mafundi fundi pale juu wanaojenga.Huyo juu ya ngazi kazi kazi yake ni kupokea kwa waliojitwika chini na kuwapasia mafundi.Wanafanya kazi kwa ushikiano.CCM hoyee.

Amekuwa gari? kweli anakata kona kama gari kuelekea porini, ... Unastahili kinana baridi
 
Kuna kitu kinaitwa map reading na Picture Reading.Inaelekea mtoa maada picture reading ulipata sifuri.Angalia hapo alivyolala umbo kupinda kuelekea kushoto akikata kona kuelekea ilipo ngazi alipeleke kwa huyo aliye juu ya ngazi anayewapa mafundi fundi pale juu wanaojenga.Huyo juu ya ngazi kazi kazi yake ni kupokea kwa waliojitwika chini na kuwapasia mafundi.Wanafanya kazi kwa ushikiano.CCM hoyee.

Duuuuu...kama picture reading ndivyo ilivyokufundisha basi ulistahili uwe muanzilishi wa Div.5.Hapo Kinana alibeba tofari kupigia picha na kuinama huko ni kubalance mzigo kwa waliosoma phisics wanatambua hili.
 
Wanasiasa wapo tayari waje jukufulia hata chupi ili tu awe na uhakika wa kupata kura yako.
 
hapo ni kama anajisemea hili godown tayari kilichobaki ngoja nielekee huku juzi faru kanikosa kosa leo nina tofali haniwezi pembe sitakosa
 
Kuna kitu kinaitwa map reading na Picture Reading.Inaelekea mtoa maada picture reading ulipata sifuri.Angalia hapo alivyolala umbo kupinda kuelekea kushoto akikata kona kuelekea ilipo ngazi alipeleke kwa huyo aliye juu ya ngazi anayewapa mafundi fundi pale juu wanaojenga.Huyo juu ya ngazi kazi kazi yake ni kupokea kwa waliojitwika chini na kuwapasia mafundi.Wanafanya kazi kwa ushikiano.CCM hoyee.

Mkuu hapo kwenye red inadhibitisha wewe ni muathirika wa Div 5.
Kwa wale ambao hawakutega shule watakubaliana na mimi kuwa kwenye Geograph Subject kuna Topic inaitwa "Map reading & Photograph"
Nashauri wizara ya elimu iongeze mpaka Div 7 ili watu wapate vyeti.
 
View attachment 124770Ukitazama hiyo picha unapata ujumbe kuwa mzee Kinana alikuwa anapeleka tofali sehemu anayoijua yeye wakati wengine walikuwa wakiipeleka kwenye ujenzi.
mbona ameamua kutokomea na tofali ? Au inamaanisha nini hii, tutafakari pamoja .

Mkuu hii ndiyo tatizo la Usanii nadhani alikuwa anakwenda kupiga nalo picha...lakini ukitafakari kwa lugha ya picha basi nadhani inaonesha na kudhibitisha kwamba yupo hapo kimwili lakini hicho kinachoendela hakimgusi na kwamba hapo alipo hapataki wala hapamhusu.
 
This old man is so energetic these days. Does it mean he wants to serve well the public from its mess? Kwenye kazi zake halali anazofanya, Huwa sichoki kumtazama Mzee huyu kwa jicho la admiration. Ni mmoja ya watu wachache wanaoweza kupanga na kutekeleza anachopanga mpaka akikamilishe. Hayo mengine mimi naachia haki ihukumu...naona kile nilichotaka kukiona,lol!
 
Unajua tatizo porini Mwamunyange na vijana wake wamedhibiti tembo,kwa hiyo jamaa
akaona ajisevie japo tofali tu aambulie'
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom