Mzee Kikwete umeshidwa kupatanisha Watanzania wenzako, umewezaje kwa Wazambia?

Tatizo ni ubabe naona huku wanapenda kulazimisha kwa kutoa amri hii inawafanya watawala kuona hawawezi kutii amri.

Lazima mmoja ashuke chini vinginevyo hayo mapambano hayatakuwa na MWISHO kwakuwa ukimuachia huru atazidi kukuvuruga Mpaka utashindwa kujenga uchumi pia atasema yeye Yuko juu ya Serikali akitoa amri wanaufyata.

Huku Nako kesi itaimarishwa ILI kuiaminisha Dunia kwamba Kuna ushahidi usio acha shaka.

Sisi tusio na Cha kupoteza tunaangalia na kumuomba Mungu atusimamie ILI kama kweli ametenda makosa asiachwe na kinyume chake.

Kuzuia muhalifu mmoja asilete shida ILI mamilioni ya watu wapone ni jambo jema kabisa.
 
Kuna mambo yanashangaza sana! Rais Mstaafu wa Tanzania Jakaya Kikwete ambaye alikuwa miongoni mwa wasimamizi wa uchaguzi Mkuu nchini Zambia ameonekana hadharani akiwa na Mahasimu wakuu wa siasa za Zambia baada ya kikao cha upatanishi, Tunamshukuru kwa jambo hilo.

Lakini swali letu linabaki kuwa hili, ikiwa kama ameweza kupatanisha Dikteta uchwara Edgar Lungu na Rais mpya Haikainde Hichilema aliyeteswa miaka yote ya Lungu madarakani, ameshindwaje kupatanisha chama chake cha CCM na wapinzani wanaoteswa kwa kubambikwa kesi za uongo ili kuwakomoa? Au Mzee huyu akili yake inafanya kazi anapokuwa nje ya nchi lakini inaondoka anapofika Tanzania? Kupatanisha wa nje wakati kwako kunateketea amelenga kutafuta umaarufu wa bei rahisi kwa jumuia ya kimataifa ili apate ujiko?

Kama Kikwete anataka upatanishi basi muda wake ni huu, aielekeze CCM kufuta kesi zote za uongo walizofunguliwa wapinzani nchi nzima na ahakikishe KATIBA MPYA na TUME HURU YA UCHAGUZI vinapatikana nchini Tanzania, vinginevyo asije akathubutu kuja kuomba upatanishi baada ya sisi kuiangusha CCM 2025, hatutakubali na TUTAMTIMUA .

Mungu ibariki Tanzania

Jaman! Huyu mzee ktk utawala wake ni sisi hawahawa tulimuona hafai dhaifu ,mwanamke, nchi iliongozwa na mwanamke, anachekacheka tuuuu, ila ndo kipindi upinzan ulistawi sana kutokana na subira na busara huyo mzee tulomwona dhaifu, haya leo hii udhaifu wake umeenda wapi hadi tutake atushaur?
 
Mwache ajibu mwenyewe
 
Kuna mambo yanashangaza sana! Rais Mstaafu wa Tanzania Jakaya Kikwete ambaye alikuwa miongoni mwa wasimamizi wa uchaguzi Mkuu nchini Zambia ameonekana hadharani akiwa na Mahasimu wakuu wa siasa za Zambia baada ya kikao cha upatanishi, Tunamshukuru kwa jambo hilo.

Lakini swali letu linabaki kuwa hili, ikiwa kama ameweza kupatanisha Dikteta uchwara Edgar Lungu na Rais mpya Haikainde Hichilema aliyeteswa miaka yote ya Lungu madarakani, ameshindwaje kupatanisha chama chake cha CCM na wapinzani wanaoteswa kwa kubambikwa kesi za uongo ili kuwakomoa? Au Mzee huyu akili yake inafanya kazi anapokuwa nje ya nchi lakini inaondoka anapofika Tanzania? Kupatanisha wa nje wakati kwako kunateketea amelenga kutafuta umaarufu wa bei rahisi kwa jumuia ya kimataifa ili apate ujiko?

Kama Kikwete anataka upatanishi basi muda wake ni huu, aielekeze CCM kufuta kesi zote za uongo walizofunguliwa wapinzani nchi nzima na ahakikishe KATIBA MPYA na TUME HURU YA UCHAGUZI vinapatikana nchini Tanzania, vinginevyo asije akathubutu kuja kuomba upatanishi baada ya sisi kuiangusha CCM 2025, hatutakubali na TUTAMTIMUA .

Mungu ibariki Tanzania

Mganga hajigangi!
 
Alijaribu wakati wa utawala wake..mkamwita Dhaifu,hana maamuzi magumu,anacheka cheka, Vasco da gama, na matusi kibao!

Akataka atupe katiba...uko nako mkapinga, mkataka kulazimisha yasiyowezekana na yanayohatarisha amani,usalama na umoja wetu wa kitaifa yawekwe. Mkaunda umoja wa kupinga katiba mpya..UKAWA!

Bila shaka karma inawatesa..mnaomba awasuluhishe kwa maombi yasiyo na staha, 'kejeli'
Chadema ni mazwazwa , hawajui wanachokipigania ,wanasifuuu mara pap!wamegeuka 😂😂😂 wanatukanaa!mara fisadi, pap! Wamegeuka,😂😎
 
JK amekwenda Zambia kama msimamizi uchaguzi aka special envoy sijui wanaita... matokeo yametoka Lungu kashindwa wamemshauri aachie madaraka peacefully.

Siku CCM ikishindwa uchaguzi itatoka tu asikudanganye mtu, huwezi kuzuia nguvu ya umma...Tanzania bado hiyo nguvu ya umma haijaichoka na CCM na siku ikichoka huhitaji katiba mpya kuitoa CCM....huoni ya Talebani afghanistan its automatic thing.
Sijui kuhusu nchi nzima ila ccm haijawahi shinda arusha popote ,watanzania wajinga na wapole
 
Kuna mambo yanashangaza sana! Rais Mstaafu wa Tanzania Jakaya Kikwete ambaye alikuwa miongoni mwa wasimamizi wa uchaguzi Mkuu nchini Zambia ameonekana hadharani akiwa na Mahasimu wakuu wa siasa za Zambia baada ya kikao cha upatanishi, Tunamshukuru kwa jambo hilo.

Lakini swali letu linabaki kuwa hili, ikiwa kama ameweza kupatanisha Dikteta uchwara Edgar Lungu na Rais mpya Haikainde Hichilema aliyeteswa miaka yote ya Lungu madarakani, ameshindwaje kupatanisha chama chake cha CCM na wapinzani wanaoteswa kwa kubambikwa kesi za uongo ili kuwakomoa? Au Mzee huyu akili yake inafanya kazi anapokuwa nje ya nchi lakini inaondoka anapofika Tanzania? Kupatanisha wa nje wakati kwako kunateketea amelenga kutafuta umaarufu wa bei rahisi kwa jumuia ya kimataifa ili apate ujiko?

Kama Kikwete anataka upatanishi basi muda wake ni huu, aielekeze CCM kufuta kesi zote za uongo walizofunguliwa wapinzani nchi nzima na ahakikishe KATIBA MPYA na TUME HURU YA UCHAGUZI vinapatikana nchini Tanzania, vinginevyo asije akathubutu kuja kuomba upatanishi baada ya sisi kuiangusha CCM 2025, hatutakubali na TUTAMTIMUA .

Mungu ibariki Tanzania

Jawabu ni rahisi nalo ni "ndege wa aina moja huruka pamoja" Mzee Kikwete ni mwana CCM na yanayofanyika anayajua na huenda anashiriki kuyapanga
 
Kuna mambo yanashangaza sana! Rais Mstaafu wa Tanzania Jakaya Kikwete ambaye alikuwa miongoni mwa wasimamizi wa uchaguzi Mkuu nchini Zambia ameonekana hadharani akiwa na Mahasimu wakuu wa siasa za Zambia baada ya kikao cha upatanishi, Tunamshukuru kwa jambo hilo.

Lakini swali letu linabaki kuwa hili, ikiwa kama ameweza kupatanisha Dikteta uchwara Edgar Lungu na Rais mpya Haikainde Hichilema aliyeteswa miaka yote ya Lungu madarakani, ameshindwaje kupatanisha chama chake cha CCM na wapinzani wanaoteswa kwa kubambikwa kesi za uongo ili kuwakomoa? Au Mzee huyu akili yake inafanya kazi anapokuwa nje ya nchi lakini inaondoka anapofika Tanzania? Kupatanisha wa nje wakati kwako kunateketea amelenga kutafuta umaarufu wa bei rahisi kwa jumuia ya kimataifa ili apate ujiko?

Kama Kikwete anataka upatanishi basi muda wake ni huu, aielekeze CCM kufuta kesi zote za uongo walizofunguliwa wapinzani nchi nzima na ahakikishe KATIBA MPYA na TUME HURU YA UCHAGUZI vinapatikana nchini Tanzania, vinginevyo asije akathubutu kuja kuomba upatanishi baada ya sisi kuiangusha CCM 2025, hatutakubali na TUTAMTIMUA .

Mungu ibariki Tanzania

Kikwete kaenda Zambia kama msimamizi kutoka sadec Sasa ukisema kaenda kuwapatinisha hapo unapotosha.Rais mteule wa Zambia katangazwa kushinda uchaguzi na tume yao ya uchaguzi.
 
Tumia akili apatanishe Tanzania kwa mgogoro upi? Tanzania hatuna tatizo lolote juu ya uchaguzi au katiba.

Kwani Zambia kulikuwa na mgogoro gani? JK ni mnafiki aliyezeeka. Uchaguzi wa 2015 hapo Zanzibar ulivurugwa tena yeye akiwa rais, mbona hakuheshimu matokeo? Au wakati huo hukuwa umeanza kujihusisha na hizi siasa majitaka?
 
Back
Top Bottom