Mzee Kikwete, leo ndiyo leo; msituangushe

Dr John Pombe Magufuli hakua wa kufa leo wala kesho ; tatizo kubwa ni ile hali aliyoiweka na washauri wake kushindwa kuhakikisha Daktari wa Rais anakuwa na msimamo ; kama Ambavyo tulimlaumu Dr Mwakyusa kwa kifo cha mwalimu kwa uzembe na kumuacha Mwalimu Butiama akiwa amezidiwa huku yeye yuko dar na chaguo lake la kwenda general hospital ya at thomas kutibu leukemia badala ya india au China , ( Mwandosya alipona Leukemia india )
Dr Machemba hata kama ni home boy kazembeaa pamoja na washauri wengine akiwemo dr Ngwale hawa pamoja na walinzi wa Rais wamezembea sana

Rais Magufuli alitakiwa kwenda kubadili Pacemarker Ujerumani

walichukua hatua gani baada ya contact wa Magufuli Kijazi kfariki?

kama Magufuli aliugua akapata nafuuu hata kama ni kwa masaaa 48 kwanini hawakumkimbizaa Ujerumani mara moja kwenye ile hospitali iliyomtibu mara ya kwanza ????? ni masaa nane tu kwa ndege ya rais

Tunaomboleza lakinj ni wakati wa Idara ya Usalama kuweka madaktari competent wa Rais ; hawa dizaini ya dr mwakyusa ; dr Ngwale ; au machemba waachane nayo

Ndani ya Emilio Mzena kuwe na timu ya madaktari bingwa nchini wa kushauri madaktari wa viongozi ,‘najua viongozi wetu wanapenda Madaktari Rafiki zao ambao sio competent !!!!! where is our medical intelligence?!?!

Najua madaktari mfano wa Mama Samia walio mzena au Lugalo sio the best !!!!! Hili la Magufuli Rais kulazimisha daktari kwakua tu ni Rafiki wakati wengine wana degreee za east europe na Russia tuangalie !!?

we have the best doctors wawe panel ambayo daktari wa Rais atatakiwa kuomba ushauri pale ambapo Rais ana serious ailment !!!!

Maisha ya Magufuli yangeweza kuokolewa hata kama alikua hataki kwenda Ujerumani kulikua na namna ya kumfikisha huko as long as Baraza la Usalama limekua briefed

Mimi hapa ndani nili muendorse Magufuli kuwa Rais toka 2013 ; pamoja na kutofautiana naye kwenye human rights issues sera zake zote zingine nazikubali ....... alikua na washauri wabaya ambao walishindwa kuboresha image yake kwenye mambo ya haki za binadamu
; ukitoa hilo yaliyobaki ni 100%
 
Basi ngoja tusubiri.
Tangazo la serikali la barakoa za lazma

Hapa nakazia:

IMG_20210321_221658_828.jpg

Hii ndiyo misimamo kuntu!
 
Ilitakiwa Kijazi na contact wake wote wawekwe karantini kisha wengine wote akiwemo Rais na walinzi wapimwe na baada ya wale wageni kuondoka.

Kuna video imesambaa kwenye TV za nje inamuonyesha mzee akiwa ziarani mahala fulani katika wiki za mwisho kabla hajafa akikohoa na kurudi ndani gari lenye dirisha la juu.

Alikuwa akiongea na wananchi.

Huu ni wakati wa serikali kukaribisha ushauri wa kitaalam kwa manufaa yake na ya wananchi.

Dunia imebadilika mtu aweza kuagiza mbu maalum wa AI na akaleta balaa kubwa.

Pia barakoa za kuagiza kutoka nje mimi sioni kama ni jambo sahihi kwani hiyo ni biashara na nyingi zinatengenezswa kwa malighafi ambazo hatuzijui.

We Africans must stop being naive and complacent about security, we cant afford to be that.

Wananchi wahimizwe kushona barakoa za kwao wenyewe na wengi wameitikia wazo lake.
 
Hadi pale Corona itakapotokomezwa au pale tutakapo kuwa nasi tumekuwa wahanga wa ugonjwa huu, ikiwa hatua zinazochukuliwa haziridhishi, tunapinga kelele.

Kwamba nyungu, maombi au ushirikina gani, hiyo mkawaambie ndege.

Uzi huu ulimhusu sana mpendwa wetu huyu ambaye kwa ujinga wako unadhani tulimchukia
Haya ni viashiria vya chuki huku ukiweka ukweli na busara pembeni, pendekeza nini kifanyike kwa corona
 
Ilitakiwa Kijazi na contact wake wote wawekwe karantini kisha wengine wote akiwemo raisi na walinzi wapimwe na baada ya wale wageni kuondoka.

Kuna video imesambaa kwenye TV za nje inamuonyesha mzee akiwa ziarani mahala fulani katika wiki za mwisho kabla hajafa akikohoa na kurudi ndani gari lenye dirisha la juu.
Si kila kifo ni corona, walioandaa mpango wa kutuondolea viongozi wetu wanataka kutuaminisha hivyo.
 
Alikuwa anafanya propaganda.

Alikuwa anapotosha ukweli.

Kama ulikuwa unamwamini,uwezo wako wa kuchanganua masuala utakuwa mdogo mno!

Jambo la kusikitisha,kama ilivyo kawaida ya madikteta,alikuwa amefanikiwa kuwabrainwash wananchi wengi kupitia udhibiti wa vyombo vya habari.
Sihitaji kuambiwa kitu nachoona.
 
Kila mtu atumie njia zake anazojua.
Magufuli alitumia nyungu, malimao na tangawizi na vimeleta matokeo mazuri tu.
Niilazimishe serikali wewe uvae barakoa? Mbona unachachawa jombi?

Sitaki kulazimishwa kutumia nyungu au maombi eti ndizo tiba iliyopo. Sitaki kushurutishwa kubeza na hivyo kutotumia chanjo iliyothibitishwa na WHO.

Hapo ndiyo kwenye mzizi wa fitina.
 
Unaanza kukana ulichoandika

Chatto Inc. rejea ukasome tena kujiridhisha kuwa maumivu ya mwili tu yanayokusibu.

Hauko peke yako jombi. Kawaulize kina mami.

Hiiiiii bagosha!
 
Magufuli amekufa kwa ugonjwa wa moyo.ila sikukatazi kuamini unavyoamini wewe.
Mwisho wa siku kila mtu ana njia yake ya kuondoka.
Unamaana vimeleta matokeo mazuri kwake?

Chatto Inc. rejea ukasome tena kujiridhisha kuwa maumivu ya mwili tu yanayokusibu.

Hauko peke yako jombi. Kawaulize kina mami.

Hiiiiii bagosha!
 
Chatto Inc. rejea ukasome tena kujiridhisha kuwa maumivu ya mwili tu yanayokusibu.

Hauko peke yako jombi. Kawaulize kina mami.

Hiiiiii bagosha!
He who laughs last laughs better, kaa chonjo
tenor(0).gif
 
Huo ni mfano wa outsiders ndani ya CCM isiyokuwa ya sasa.

Tunahitaji mabadiliko kamili.

Wote hao wanaweza kuwa bora kuliko hawa:

1. Majaliwa
2. Ndugai
3. Simbachawene
4. Chenge
5. Mwigulu
6. Kabudi
7. Nk.nk

Na wa namna hiyo.

Au nasema uongo ndugu zangu?
Bashiru tu! hakuna mwingine anaeweza kujaribu alichofanya mwenda zake Mh. JPM
 
Mabandiko yote tuliyoandika kuhusiana na Samia yameendelea kumkumbusha barakoa na social distancing.

Magufuli alitukwaza mno na Corona.

Ukijumlisha na ukatili na kukosa huruma ndiyo kabisa!
Unafaa kuwa makamu wa raisi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom