Ettore Bugatti
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 4,123
- 8,253
Kwani ni lile kundi la akina makonda waliotaka kumzaba makofi mzee Warioba?Nawatunga katiba ndiyo hao hao
Kwani ni lile kundi la akina makonda waliotaka kumzaba makofi mzee Warioba?Nawatunga katiba ndiyo hao hao
For future use!Bado kuna #12 bado inadai.
Nayo wasema je mkuu?
For future use!
Sina imani na CCM kabisa punguzeni expectations...
CCM ni ile ile narudia CCM ni ile ile...
Alipoishia pale kwa udikiteta?
Tanzania mpya inakuja jombi macho yetu kwa mzee wa kaya JK anayo nafasi ya kutupa raha.
Ndio si chadema mlisema mnataka Dikteta leo mnajisahaulisha?!
Sasa hivi mnampenda!? Watanzania mna kiwango cha STG CHA UNAFIKI[emoji23][emoji23] matusi yote mlomtukana Leo kawa Mzuri
Wapi ulisikia tunapenda watu? Hata huyu subiri tusikie VP ni Bashiri.
Kwanini magumu kuelewa nyie?
Hiiiiii bagosha!
Kajisome then hilo swali jiulize mwenyewe ukipata jibu njoo uniambie
Dah...Change? [emoji15]Huo ni mfano wa outsiders ndani ya CCM isiyokuwa ya sasa.
Tunahitaji mabadiliko kamili.
Wote hao wanaweza kuwa bora kuliko hawa:
1. Majaliwa
2. Ndugai
3. Simbachawene
4. Chenge
5. Mwigulu
6. Kabudi
7. Nk.nk
Na wa namna hiyo.
Au nasema uongo ndugu zangu?
Huyu mama ka-prove failure hata mwaka haujaisha. Anatakiwa afyatuliwe harakaMagufuli kilichompa nguvu kuwa na MISIMAMO YA PEKE.
hata mimi mwanzo nilikuwa simkubali kabisa.kutokana na maamuzi yake.
Alichagua mtu anayemtaka hata kama watu watachukia.
Nani alijua kuwa doroth gwajima yule mama atakuwa WAziri wa afya?
HUYU KAZI YAKE KUCHEKACHEKA TUNATAKA RAIS DIKTETA [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1430][emoji1430][emoji1430]
Naunga mkono hoja yako kwa 100%Tunataka mwanzo mpya. Utakaotambua nchi ni yetu sote. Utakaotambua tuna janga la Corona. Utakaotambua katiba mpya ni agenda yetu muhimu.
Mwanzo utakaotambua maendeleo ya watu nayo ni muhimu tena zaidi ya maendeleo ya vitu.
Leo JK KAWA WA KUWAPA RAHA DU RSHA BILA KAZIMh. Rais mstaafu Jakaya Kikwette tunayo matumaini makubwa kwenu kuwa ule muda ambao taifa hili limeusubiri mno hatimaye umewadia.
Ni wazi kuwa kila mtu katika nchi hii angalipendelea tuishi sote kwa usawa na haki. Utashi wa viongozi wa juu katika kufanikisha hayo ni jambo la muhimu sana.
Kufanya maamuzi magumu yatakayorejesha imani ya wananchi kwa nchi yao itakuwa jambo la msingi mno kwa sasa labda kuliko jambo lolote lile.
Pana watu wakiwamo watia nia wengi waliojaribu kuutaka urais na kura kuwa hazikutosha hali nafasi ni moja wakiwamo akina:
1. Asha Rose Migiro
2. Mzee Mwandosya
3. Bernard Membe
4. Mizengo Pinda
5. Frederick Sumaye
6. Edward Lowassa
7. Abdulhaman Kinana
8. Philip Mangula
9. Anna Mghwira
10. Dkt. Slaa
11. Dkt. Nchimbi
12. Nk nk
Watu ambao hawakuwamo ndani ya establishment ya sasa au wale waliokuwa na maoni tofauti kuhusiana na establishment ya sasa kwa hakika wangetufaa sana.
JK tupeni raha kwa kuandaa mustakabala mwema utakaotuletea mwanzo mpya.
Hakika tena msemaji umesema vyemaTunataka atakae shikilia pale alipoishia magufuri, tulisha zoea kuchapa kazi tulisha zoea kulipa kodi, teyar tunajua sisi ni matajiri na vijana wamejityuni kukaa na kuchapa kazi hivyo hatutaki kurudi nyuma tunahitaji atakae tupeleka mbele zaidi na Sio kurudi nyuma
Amka kafanye kazi hakuna vya bure naw day NO FREE LOUNCHAlipoishia pale kwa udikiteta?