Mzee Jumbe ausia asizikwe Kiserikali

Mzee Jumbe ausia asizikwe Kiserikali

Lazima tufuate wosia wake. Tunamwomba Mungu ampumzishe mahala pema peponi. Alifanya mengi mazuri wkt wa uhai wake. Amen.
 
Kwenye wasia huo kuna ujumbe mzito sana. Soma vizuri katikati ya mistari. Dunia tunapita tu. Mtendee wema mwenziyo kama wewe ambavyo ungependa utendewe.
Kweli kabisa mkuu hapa duniani ni mapito tu na kwa mungu hakuna mjanja wala mbabe
 
CCM ni wanafiki sana
Walishirikiana hawa akina Mkapa kuendelea kumtenga Mzee Jumbe
Leo kafa watajifanya wanamjua kwa saaana
Wanafiki wakubwa hawa
 
Mzee amestukia bendera ya ccm ingempeleka kuzimu.Maccm yanaishi kama machawi mmemfunga Mzee miaka yote
 
Duh mzee wetu ni kama namwona vile kabla hajaanza kuandika huu wosia alifyonya kwa nguvu zote halafu akatoa bonge la tusi mxxxxxew sitaki kuona **** wa CCM kupatia maujiko na taizi kwenye msiba wangu!!
RIP mzee hongera sana kwa kutokuwa mnafiki na kuwazihirishia CCM kuwa malipo ni hapa hapa duniani.
Sisi wazawa wazalendo tumekuelewa saana.
Wito wangu kwa familia ya marehemu tafadhali sana heshimuni maagizo yote msiwaonee aibu hawa wenyeji wa lumumba. Wachinjieni baharini tu tena hamna haja ya kuwatambulisha wala kuwapa masofa wafutishe vitambi vyao haramu kwani jamvi pekee linatosha.

Buriani mzee Jumbe. Mbele yako Nyuma Yetu.
 
CCM ni wanafiki sana
Walishirikiana hawa akina Mkapa kuendelea kumtenga Mzee Jumbe
Leo kafa watajifanya wanamjua kwa saaana
Wanafiki wakubwa hawa
Mnafik ni neno la kiarabu, lenye maana ya kauli isio thabiti au mtu anae badilisha kauli au mtu mwenye kutoa ndimi zaidi ya 1
 
Ccm bado kuna watu wengine wapo kizuizini?
Wafungulieni wawe huru,laana zitawamaliza mashetani nyie
 
aliishi kifungo cha ndani miaka,hapa nyerere anahusika kwa kiasi kikubwa,na angalia miaka yote utadhani alikuwa amekufa vile kumbe yupo hai kabisa,
subiri unafiki wao sasa ndio utachoka
 
Kafir ni neno la kiarabu lenye maana ya neno "kukataa"
Kuna literally na technically mi nimejibu technically kafiri ni yeyote asiye kuwa muislam
Maana yake amekataa muongozo kwahiyo ukisema kukataa ni sawa
 
Back
Top Bottom