Maalim Seif alimsaliti kwa MW. NYERERE, naye akamtokomeza kisiasa na kufanya vituko.Walimfanyia Mzee wa watu mbaya sana
Maalim Seif alimsaliti kwa MW. NYERERE, naye akamtokomeza kisiasa na kufanya vituko.Walimfanyia Mzee wa watu mbaya sana
KabisaBora amekataa wanafiki kufanya unafiki wao.
Imani ndio inasema azikwe kiserekali au jeneza lifunikwe na bendera ya ccm? Shirikisha ubongo kabla ujatanua mdomoSio mtu anaamua, bali imani yake ndio itakayofuatwa.
Nani kasema patawekwa bendera yoyote? Mbona mnapenda sena kukurupuka!!Imani ndio inasema azikwe kiserekali au jeneza lifunikwe na bendera ya ccm? Shirikisha ubongo kabla ujatanua mdomo
hahahaaaaahhaaa!!nenda kazini wewee!hataki hata chembe ya kufuru!Kwaiyo hataki tupumzike??
Kauli kama hii ni hatari kwako binafsi. Wakati mwingine ni bora ukae kimya kuliko kutoa kauli hatarishi kama hii. Mwombee marehemu basi yatosha.CCM NI MASHETANI NA MAUAJI HAYO,,, IPO SIKU TUTAFANYA MAPINDUZI TU NGOJA AMUWEKE MKUU WA MAJESHI MSUKUMA MUONE
Ndio sehemu za ccm kujipatiaga umatufu usio na tijaNani kasema patawekwa bendera yoyote? Mbona mnapenda sena kukurupuka!!
kweli wala sio uzushi ndo maana kawapa kubwa wanafki woteNiliyoyasikia kuhusu aliyofanyiwa enzi za uhai wake...uum (sijui kama ni kweli au ni uzushi).
sana tu nimesoma hapa natafakari haswaa!Kwenye wasia huo kuna ujumbe mzito sana. Soma vizuri katikati ya mistari. Dunia tunapita tu. Mtendee wema mwenziyo kama wewe ambavyo ungependa utendewe.
Kwenye wasia huo kuna ujumbe mzito sana. Soma vizuri katikati ya mistari. Dunia tunapita tu. Mtendee wema mwenziyo kama wewe ambavyo ungependa utendewe.
Toa ukafir wako hapa, nani anatakaga umaarufu msibani kama sio machadema,kwa mzee Kisena mlivaa manguo meusi na mamiwani myeusi na kudai mwende msafara ha ha ha na nywele nyeupe na mwenyekiti wa maisha alikuwepo! Umesahau!Ndio sehemu za ccm kujipatiaga umatufu usio na tija
wamefulia sasaa!!Ndio sehemu za ccm kujipatiaga umatufu usio na tija
Wameumbuka mbayawamefulia sasaa!!
Nayani haoni kundule je unakumbuka Lowassa alizuiliwa asifiki kwenye mazishi kule usangi upareni Mwanga unajua nikwanini lakiniToa ukafir wako hapa, nani anatakaga umaarufu msibani kama sio machadema,kwa mzee Kisena mlivaa manguo meusi na mamiwani myeusi na kudai mwende msafara ha ha ha na nywele nyeupe na mwenyekiti wa maisha alikuwepo! Umesahau!
wazee wa kisafiria nyota!Wameumbuka mbaya