Magaidi wasije wakamteka mzee wa watuMkurugenzi wa Taasisi ya Mwl Nyerere Joseph Butiku , leo amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Chadema Mh John Mnyika , bado haijawekwa wazi kikao hicho kililenga nini hasa.
Endelea kutufuatilia hapa hapa JF kwa Taarifa zaidi juu ya kikao hicho
View attachment 1933442View attachment 1933441View attachment 1933443
Hamza et alMlevi wa konyagi hawezi kuachiwa kwa sababu ya shinikizo, kama ushahidi upo ajibu mahakamani. Hizi zuga zuga hazitasaidia kitu chochote.
Are you serious?Kama Mama anaheshimu Mwl Nyerere Foundation na wazee washauri....basi wamuachie Mbowe ile kesi ni upuuzi mtupu mama afute kesi kupitia Dpp
😅🤣🤣Ushahidi wa Shangazi kaja wawa mzigo
Jungu hiloHawa wazee ndiyo walimpa kichwa Magufuli wakijua wanamkomoa Kikwete. Lakini mwisho wa siku walijutia ujinga wao. Sioni hata kwa sasa kama wana msaada wowote maana wameshapoteza ushawishi nchini
Unafikiri kwanini kaanzisha hiyo tour?Anatembelea vyama vya siasa jana alikuwa ACT wazalendo!
Kwa bahati mbaya sana wanapuuzwa ndani ya chama chao. Hawana 'influence' yoyote kwa sasa ndani ya chama hicho.Mzee Butiku na Mzee Warioba, ndizo tunu pekee kutoka kundi la wazee, tulio nao sasa.
Hawa wazee, kuwepo kwao CCM hakujawaondole akili wala hekima kama kwa wanaCCM wengi vijana.
Anatembelea vyama vya siasa jana alikuwa ACT wazalendo!
Hakika Corona haipo nchini ,na watanzania wameungana na hayati Magufuli,Mkurugenzi wa Taasisi ya Mwl Nyerere Joseph Butiku , leo amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Chadema Mh John Mnyika , bado haijawekwa wazi kikao hicho kililenga nini hasa.
Endelea kutufuatilia hapa hapa JF kwa Taarifa zaidi juu ya kikao hicho
View attachment 1933442View attachment 1933441View attachment 1933443
😆😆😆Unadhani ungeweza kuandika cha maana zaidi ya hiki ulichoandika?
Mungu ibariki CHADEMAMkurugenzi wa Taasisi ya Mwl Nyerere Joseph Butiku , leo amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Chadema Mh John Mnyika , bado haijawekwa wazi kikao hicho kililenga nini hasa.
Endelea kutufuatilia hapa hapa JF kwa Taarifa zaidi juu ya kikao hicho
View attachment 1933442View attachment 1933441View attachment 1933443
akika Corona haipo nchini ,na watanzania wameungana na hayati Magufuli,
Hakuna cha barakoa wala mjomba wake sanitizer
Hujui kitu gani hapo ?Kumbe alizimishwa?!
Hivi Chadema imesahau kuwa Corona ipo? Yaani Mnyika anaongea na Mzee Butiku kwa ukaribu huo bila barakoa.? Pamoja na kujilinda, tuwalinde zaidi wazee wetu. Corona ni hatari zaidi kwao.Mkurugenzi wa Taasisi ya Mwl Nyerere Joseph Butiku , leo amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Chadema Mh John Mnyika , bado haijawekwa wazi kikao hicho kililenga nini hasa.
Endelea kutufuatilia hapa hapa JF kwa Taarifa zaidi juu ya kikao hicho
View attachment 1933442View attachment 1933441View attachment 1933443
Kuna mtu alisema ukiwaelewa Chadema wanataka nini, kimbia haraka kwa daktari wa akili akakutibu ukichaa. Hata dunia haiwaelewiChadema Mwezi wa tatu tuu mlikua mnaongea maneno kama haya kwa Rais Samia na leo mmeshamgeukia
Hata Lowasa alisemaga