GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,694
- 109,133
Kuna sehemu yoyote nimekutukana?
Na Mimi kuna sehemu yoyote ile nimekutukana?
Kuna sehemu yoyote nimekutukana?
Lakini ni inshara gani kwa ccm?? au wewe unamoni gani kwa Lisu kukaribishwa kwa mwasisi wa ccm?
NimekupuuzaNa Mimi kuna sehemu yoyote ile nimekutukana?
Lakini nafikiri, wasimwage ugali wake! wamrudishe kunduni tu!
Kama hujui ni hujui tuu!!!Maswali ya 'Kipumbavu' kama haya huwa si ya 'Hadhi' yangu tafadhali. Tundu Lissu 'kakaribishwa' na Madaraka na si Familia ya Hayati Mwalimu?
Alidanganywa na sifa za kutoka kwa watu kama akina Bashite. Hata mtu unaposifiwa, inabidi uangalie mtu anayekusifia. Ukisifiwa na kichaa halafu na wewe ukaamini umefanya maajabu kwa sababu umesifiwa na kichaa, kuna siku utajutia.Magufuli hajajiandaa kisaikolojia matokeo yakiwa mabaya kwake. Huu urais anajiona kama alizaliwa nao na maamuzi yake tu ndiyo ya sikilizwe.
Umeona ulivyo na kichwa kikubwa akili tone!!
Serikali na familia wapi na wapi??
Yan unafikiri familia ya Nyerere haifany chochote bila serikali???
Hakika wew ni zaidi ya KILAZA
Duuh! ni makosa ya kiuandishi!! Ninikuwa namaanisha kundini mkuu!!Mkuu, sijalielewa hilo neno la pili kutoka mwisho!
Huyu jamaa analeta unoko sana, hawa ndio wale walikuwa wanajifanya much know sekondari. Anajikuta yeye ndio yeye, GENTAMYCINE acha usekondari.
Kama hujui ni hujui tuu!!!
Kwani kuuliza mtazamo wako, ni upumbavu kweli! kwahio mtazamo wako ni upumbavu?Maswali ya 'Kipumbavu' kama haya huwa si ya 'Hadhi' yangu tafadhali. Tundu Lissu 'kakaribishwa' na Madaraka na si Familia ya Hayati Mwalimu?
Kwani kuuliza mtazamo wako, ni upumbavu kweli! kwahio mtazamo wako ni upumbavu?
Familia ya Mwl. Nyerere yamkaribisha Lissu kwake. Hii ndio habari yenyewe.Hujui hata 1% tu ya hiyo Familia ya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere hivyo naendelea 'Kukusihi' kuwa tulia tu na acha 'Kujichoresha' Kwetu.
Mpuuzi mkubwa weweMimi nilianza muda mrefu tu Kukupuuza.
Kwako wewe familia ya Mwalimu Nyerere ni nani na nani?Tundu Lissu 'amekaribishwa' na Mmoja wa Watoto wa Hayati Mwalimu Nyerere aitwae Madaraka na hakukaribishwa na Familia yake. Msipotoshe!!!
Punguza mihemuko! utakufa na mi sheli bure!! ukweli ni kwamba Lisu ameshamzidi Baba jesca kimbinu!! umeona leo Baba jesca amefuta vitambulisho vya wamachinga!Wewe 'Juha' hebu acha 'Kunipotezea' muda wangu tafadhali sawa?
Familia ya Mwl. Nyerere yamkaribisha Lissu kwake. Hii ndio habari yenyewe.
Wewe kama imekuuma bas ujue Dawa Imepenya na soon utapona.
Asante Madaraka
Hichi ki gentamycine kinajifanya kijuaji kama slut polepoleSijakutukana, nimejibu KIPUUZI kama ulivyoniita wew!!
Napenda tu unavyojikuta unajua kila kitu, wakati kuna mengi tu hujui.
Madaraka ndio kiongozi wa familia ile, lolote likisemwa au kufanywa na familia ile ujue lina mkono wa Madaraka.
Ujuaji mwingi mbele huwa giza!
Acha kujiaibisha
Nihangaike na wewe kwa lipi hasa ulilonalo ?Sasa kwanini unahangaika na Mimi?