Mzee Clemence Mwandambo ajisajili TRA Mbeya kama mfanyabiashara mtandaoni

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Msanii na mtengeneza maudhui ya mtandaoni (Digital Content Creator) Bw. Clemence Mwandambo amefika katika ofisi za Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Mbeya tarehe 17 Novemba 2025 kwa ajili ya kujisajili na kupata Namba ya Utambulisho wa Mlipa Kodi (TIN). Hatua hiyo inalenga kumwezesha kukadiriwa rasmi kama mfanyabiashara wa mtandaoni na kuendesha shughuli zake kwa kufuata matakwa ya kisheria.
1763466124969.png
 
Kaanza kuwa msanii
 
Tunawaza vitu vya maana analeta comedy
 
Msanii na mtengeneza maudhui ya mtandaoni (Digital Content Creator) Bw. Clemence Mwandambo amefika katika ofisi za Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Mbeya tarehe 17 Novemba 2025 kwa ajili ya kujisajili na kupata Namba ya Utambulisho wa Mlipa Kodi (TIN). Hatua hiyo inalenga kumwezesha kukadiriwa rasmi kama mfanyabiashara wa mtandaoni na kuendesha shughuli zake kwa kufuata matakwa ya kisheria.
Huyu atakuwa pandikizi na mmoja wao yeye na Malisa kwasababu hadi leo hawajatekwa.
 
Huyu jamaa kuna uzi wake jana humu alijitaja naukumbuka....
 
Hili neno "msanii", linazidi kupoteza maana kadri siku zinavozidi kusonga😏
 
Back
Top Bottom