WArioba ameongea mara moja tu mwitikio wake ukawa mkubwa lakini huyu mzee ameshaongea mara tatu tangu mauaji yatokee lakini hashangai hakuna mtu anamfatilia.
Muhimu kwangu:Amenikumbusha tu Tunza Lodge.Nitakuwa hapo Next Weekend na Mchepuko wangu Mozzah-asiye wa CHAUMMA nikakumbushie ujana wangu kipindi Tunza iko moto.
Mungu haonekani, na ukimsikia mtu yeyote amesema amemuona Mungu, ujue aliyemuona ni shetani. Mungu una m feel kuusikia uwepo wake ndani yako, na kuisikia sauti ya ndani yako ambayo ndio sauti yake, the voices from within.
Mimi hizi sauti nazisikia sana na baadhi nazileta humu.