Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,181
- 17,657
Huyo polepole aliendeshwa na hisia za kipuuzi sijawahi ona, kijamaa kiliona km Tz ni ya baba yake . Leo kipo sero kinanyea debe.Kwani Balozi mstaafu Humphrey Polepole alisemaje?
Mheshimiwa Polepole yupo sero bila stress yoyote ila wahuni wapo uraiani wanahondomora keki ya taifa kwa stress na kujificha.Huyo polepole aliendeshwa na hisia za kipuuzi sijawahi ona, kijamaa kiliona km Tz ni ya baba yake . Leo kipo sero kinanyea debe.
Mpelekeni mahakamani Sasa.Huyo polepole aliendeshwa na hisia za kipuuzi sijawahi ona, kijamaa kiliona km Tz ni ya baba yake . Leo kipo sero kinanyea debe.
Kwani Balozi mstaafu Humphrey Polepole alisemaje?
Huyu hakuchanganyikiwa; huyu ni mtu anayefanya jambo analojuwa mwenyewe kuwa siyo sahihi.Mkurugenzi Mtendaji na Rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere, Joseph Butiku, amewataka Watanzania kukubaliana na uhalisia kwamba nchi tayari ina Rais aliye tayari kwa maridhiano.
Butiku ametoa kauli hiyo leo Machi 4, 2026, wakati wa maadhimisho ya Siku ya Maridhiano (Maridhiano Day) yaliyofanyika katika ukumbi wa Kwa Tunza, wilayani Ilemela, mkoani Mwanza.
Akizungumza katika hafla hiyo, amesema kuwa tume iliyoundwa na Rais Samia Suluhu Hassan imeongezewa muda hadi mwezi Aprili, na kuwataka wananchi kuwa na subira.
“Nimesikia tume iliyoundwa na Rais Samia imeongezewa muda mpaka mwezi wa nne (Aprili). Tukubali tusubiri aje atuambie jambo na lije litusaidie kwenye mazungumzo,” amesema Butiku.
Aidha, amewataka viongozi wa dini nchini kuendelea kuhimiza haki na amani kwa wakati mmoja, akisisitiza kuwa hakuna amani ya kweli bila haki.
Kama unavyoamini wewe kuwa Tanzania ni ya mhalifu Samia, au siyo?Huyo polepole aliendeshwa na hisia za kipuuzi sijawahi ona, kijamaa kiliona km Tz ni ya baba yake . Leo kipo sero kinanyea debe.
well done, well said mzee Joseph ButikuMkurugenzi Mtendaji na Rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere, Joseph Butiku, amewataka Watanzania kukubaliana na uhalisia kwamba nchi tayari ina Rais aliye tayari kwa maridhiano.
Butiku ametoa kauli hiyo leo Machi 4, 2026, wakati wa maadhimisho ya Siku ya Maridhiano (Maridhiano Day) yaliyofanyika katika ukumbi wa Kwa Tunza, wilayani Ilemela, mkoani Mwanza.
Akizungumza katika hafla hiyo, amesema kuwa tume iliyoundwa na Rais Samia Suluhu Hassan imeongezewa muda hadi mwezi Aprili, na kuwataka wananchi kuwa na subira.
“Nimesikia tume iliyoundwa na Rais Samia imeongezewa muda mpaka mwezi wa nne (Aprili). Tukubali tusubiri aje atuambie jambo na lije litusaidie kwenye mazungumzo,” amesema Butiku.
Aidha, amewataka viongozi wa dini nchini kuendelea kuhimiza haki na amani kwa wakati mmoja, akisisitiza kuwa hakuna amani ya kweli bila haki.
Naunga mkono hoja, hili hata mimi, nililisema!, GE2025 - Fact: Samia ndiye Rais wa JMT!, Uwe ulimchagua, hukumchagua, hukupiga Kura, uko Tanzania au Ughaibuni, unamtambua, humtambui, SSH ndiye Rais wako!Mkurugenzi Mtendaji na Rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere, Joseph Butiku, amewataka Watanzania kukubaliana na uhalisia kwamba nchi tayari ina Rais aliye tayari kwa maridhiano.
Huo mkono bora ungeutumia kuunga mbogaNaunga mkono hoja
P
Mkurugenzi Mtendaji na Rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere, Joseph Butiku, amewataka Watanzania kukubaliana na uhalisia kwamba nchi tayari ina Rais aliye tayari kwa maridhiano.
Butiku ametoa kauli hiyo leo Machi 4, 2026, wakati wa maadhimisho ya Siku ya Maridhiano (Maridhiano Day) yaliyofanyika katika ukumbi wa Kwa Tunza, wilayani Ilemela, mkoani Mwanza.
Akizungumza katika hafla hiyo, amesema kuwa tume iliyoundwa na Rais Samia Suluhu Hassan imeongezewa muda hadi mwezi Aprili, na kuwataka wananchi kuwa na subira.
“Nimesikia tume iliyoundwa na Rais Samia imeongezewa muda mpaka mwezi wa nne (Aprili). Tukubali tusubiri aje atuambie jambo na lije litusaidie kwenye mazungumzo,” amesema Butiku.
Aidha, amewataka viongozi wa dini nchini kuendelea kuhimiza haki na amani kwa wakati mmoja, akisisitiza kuwa hakuna amani ya kweli bila haki.
Kuwe na uchaguzi, kusiwe na uchaguzi, anayeziweka serikali za mataifa ni Mungu pekee!. Hata serikali za kidikiteta, hata serikali za kidhalimu, ni Mungu ndie huweka serikali za mataifa yote!. Je, wajua japo Mungu huweka Serikali za Mataifa kuna Serikali/Viongozi wa Mungu na Shetani? Tusiruhusu Ushetani kwa kuchagua mashetaniMsilazimishe Watanzania kukubali uongo hakukuwa na Chaguzi Tanzania. Mnaongelea Mungu wakati mnaongelea uongo Mungu hapendi uongo
https://www.facebook.com/Mkurugenzi Mtendaji na Rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere, Joseph Butiku, amewataka Watanzania kukubaliana na uhalisia kwamba nchi tayari ina Rais aliye tayari kwa maridhiano.