Mzee baba, pakacha limeanza kuvuja ujue...

CC: VUTA-NKUVUTE
 
Ujumbe umefika mkuu, cheupe dawa amefanya makubwa. Kule Gemstones mzee baba ameshikilia mwenyewe, cheupe akitekeleza majukumu ya kulea kichanga.
[emoji33] [emoji33] [emoji33] [emoji33] ivi mnamuamin sana yule mkimbizi kule kwa trump?
 
Tatizo ninalo liona hapa ni kuwa huyu baba ataelewa kweli ulichoandika? Maana watu wameandika sana lakini nadhani uwezo unaishia kwenye difinisheni ya katalisti
 
Nawaomba muwe makini na comments zenu... Isije kuonekana kuna watu mnawakashifu... Hali ni tete na bado tunahitaji kuonana JF..... [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
Nini? wasiojulikana?
 
hahahaha Bavicha mnajua kujifurahisha leo hii hata huyu mchawi eti naye ana aminika kwa story za vijiweni hahahaha
Bado nashangaa kwa na kujiuliza kwa JF wameanza kuruhusu taka taka kama hizi za kudhalilisha watu kwa uzushi.....
Dawa imekuingia [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ukishafahamu alipo utamfanya nini, badala ya kufuatilia miradi yako wewe unakesha kufuatilia komenti za watu, poor.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…