radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,438
- 32,248
Mzee focus saa nane anamawazo ya kumpata mwanae akiwa hai hadi muda huu unavishangaa vyombo vya dora kwa kutokwenda kuongea nae.
Pia ameomba mwajili wake ambae ni chadema waende kuongea na kumtembelea mana hawajafanya hivyo toka alipotoweka mtoto wake kwenye mazingira ya utatanishi.
Akihojiwa na kipindi cha azam two mzee saa nane anaona sasa ni muda muafaka wa kuvishirikisha vyombo vya dora vya kinataifa ili vimsaidie kumpata na kufanya uchunguzi kwa mwanae alietoweka.
Ben saa nane anatimiza siku mia moja toka alipotoweka.