samweli msigwa
Member
- Mar 11, 2015
- 30
- 17
- Thread starter
-
- #21
Namzazi akijua umepata kazi ukimwambia sina Pesa hakuelewi kelele zinaanza anisaidii atakua ana honga Sana'a huyu mjini kuna mchanganyaNi wajibu wa lazima kwa mzazi kumhudumia mtoto.
Ila siyo jukumu kisheria kwa mtoto kumhudumia mzazi.
Mtoto anawajibika kimila tu kwa mzazi katika kumsaidia ila siyo kisheria.
Mzazi hawezi kumshitaki mtoto kwa kutokumhudumia.
Hii ni changamoto sana kwa vijana, bado kuna wazazi wana fikra za kijima kwamba wamezaa ili wapate wa kuwahudumia kila kitu.
Yaani, umlipie bill ya umeme, chakula , pombe, mavazi, vocha, na malazi.
Yaani, unabeba jukumu, hili siyo sawa.
Kuna kumsaidia mzazi pale hali ikiruhusu ila kuna wengine wanataka wakupruni kila kitu yaani kwa mwezi unatuma hata laki mbili mfano, wakati unalipwa laki tano.
Mwinge analipwa laki tatu wazazi wanataka kila mwezi laki baado matumizi madogo mado pi we we mwenyew una majukumu yako we we kama we we daah! Ulipe kod ya nyumba umeme maji ule uvae ujenge ujiajili watkiwa kutafuta mtaji haphapo kwenye lakitatu upande daradara kilasiku mmh! Tunafika kweli
Ni wajibu wa lazima pia mtoto kumhudumia mzazi.Ni wajibu wa lazima kwa mzazi kumhudumia mtoto.
Ila siyo jukumu kisheria kwa mtoto kumhudumia mzazi.
Mtoto anawajibika kimila tu kwa mzazi katika kumsaidia ila siyo kisheria.
Mzazi hawezi kumshitaki mtoto kwa kutokumhudumia.
Hii ni changamoto sana kwa vijana, bado kuna wazazi wana fikra za kijima kwamba wamezaa ili wapate wa kuwahudumia kila kitu.
Yaani, umlipie bill ya umeme, chakula , pombe, mavazi, vocha, na malazi.
Yaani, unabeba jukumu, hili siyo sawa.
Kuna kumsaidia mzazi pale hali ikiruhusu ila kuna wengine wanataka wakupruni kila kitu yaani kwa mwezi unatuma hata laki mbili mfano, wakati unalipwa laki tano.
Ni wajibu wa lazima pia mtoto kumhudumia mzazi.
Wewe unataja eti sio wajibu wa kisheria hiyo sheria unayosema ni ya nani??
Na mimi nakwambia kwa mujibu wa sheria ya dini yangu kumtunza mzazi ni jukumu la lazima kwa mtoto na sio hiyari.Sheria ya Mtoto ya mwaka 2009, na Sheria ya Ndoa ya Mwaka 1971, zote kwa pamoja zinatamka kwamba wazazi wana wajibu wa kuwapa watoto mahitaji yao na ni lazima.
Ila sheria hizo na nyingine, hazisemi kwamba mtoto anawajibika kumhudumia mzazi.
Ulishasikia wapi mtoto kawajibishwa kwa kushindwa kuwahudumia wazazi?
Lakini itakuwa umewahi kusikia wazazi wakiwajibishwa kwa kushindwa kuwahudumia watoto, na pia mwanaume kushindwa kumhudumia familia.
Iko hivi, mzazi akishamaliza kazi ya malezi inatosha.
Na hata kule Moshi huwa mtoto akimaliza shule anaambiwa aende zake akatafute na hana chake tena.
Asante dadaTunajukumu la kuwatunza na kuwalea watoto tuliowaleta duniani, kumsaidia mzazi ni fadhila ya malezi aliyokupa lakini si jukumu.
Na mimi nakwambia kwa mujibu wa sheria ya dini yangu kumtunza mzazi ni jukumu la lazima kwa mtoto na sio hiyari.
vijana wenzangu ningependa tuweksne sawa katika hili swala ambalo lina tukuta weng
kwa mfano umepata kazi wazazi nao wanategemea sana wewe kupata kazi baada baada ya wewe kapata kazi kuna maisha yako inatakiwa uyatengeneza changamoto ina kuja hapa mzazi mzazi akishajua kwamba umeshapata kazi hapo ndipo changamoto zinaanza
mzazi anaanza kuku tegemea wew kwakila kitu bila kujali mshara wako Mdogo pia afikilii kwamba nawew unahitaji kutengeneza maisha yako kwanza
hatukatai kumsaidia mzazi nilazima lakini kuna muda unaweza jikuta kwenye maisha unakwama malengo yako yana potea bila kujua nini chanzo kumbe hata wazazi wana changia wakisha jua mwisho wamwezi umekaria sim zinaanza zakuomba Pesa unajikuta malengo ulopanga kwamba nikipokea mshahara nifanye hiki unavuruga unamtumia mzazi usipo mtumia lawama kama zote
jamani wazi mtuache kwanza makampuni yenyewe saivi wana lipa mishahara midogo pengine hata Mimi mahitaji yangu haunisholezi tushsulisne hapa Vijana wenzangu hasa sisi tunao anza maisha tuwekane sawa by Fundy_samwely_tz
Hivi bwana mkubwa hapa tunazungumzia ishu kwa mujibu wa sheria za nchi??Sasa sheria ya dini haiwezi kuipiku sheria ya nchi.
Sheria ya dini inatakiwa ifuate sheria ya nchi.
Taasisi za dini zinasajiliwa kwa mujibu wa sheria za nchi.
Kama sheria ya dini inasema kuwa ni lazima, huku ya nchi ikikataa, basi sheria ya nchi ndiyo inazingatiwa.
Hiyo ndiyo tafsiri sahihi
Mzazi kumhudumia mtoto ni jukumu lake lakino sio jukumu la mtoto kumhudumia mzazi, ndio maana wazazi waliotengeneza mazingira na wakajiandaa hawawasumbui watoto kuomba omba hela kila wktLaiti kama ungejua faida za kuwahudumia wazazi usingesema ivyo kabisa bora wewe unafanya kazi, kuna watu wanahudumia wazazi bila hata yakua na kipato cha uhakika
Samweli, uzuri wa wazazi wetu wengi wa Kiafrika ni Waelewa. Ninaamini kuwa ukikaa nao na ukawaeleza kuhusu hali yako watakuelewa na ninaamini kuwa mtafika mahali mtapata muafaka tu...Nieleweke sijaja kulala mika nime post ili tushauliane wadau
Kweli mkuu. Alikuwa wali anaula siku ya Eid na Krismas tu sasa kwa kuwa mwanawe umepata kijikazi anataka ale wali kila jumamosi, kama sio kila siku!Ni wajibu wa lazima kwa mzazi kumhudumia mtoto.
Ila siyo jukumu kisheria kwa mtoto kumhudumia mzazi.
Mtoto anawajibika kimila tu kwa mzazi katika kumsaidia ila siyo kisheria.
Mzazi hawezi kumshitaki mtoto kwa kutokumhudumia.
Hii ni changamoto sana kwa vijana, bado kuna wazazi wana fikra za kijima kwamba wamezaa ili wapate wa kuwahudumia kila kitu.
Yaani, umlipie bill ya umeme, chakula , pombe, mavazi, vocha, na malazi.
Yaani, unabeba jukumu, hili siyo sawa.
Kuna kumsaidia mzazi pale hali ikiruhusu ila kuna wengine wanataka wakupruni kila kitu yaani kwa mwezi unatuma hata laki mbili mfano, wakati unalipwa laki tano.
Tunajukumu la kuwatunza na kuwalea watoto tuliowaleta duniani, kumsaidia mzazi ni fadhila ya malezi aliyokupa lakini si jukumu.
Na wazazi wengine usipowatumia pesa wana waka kama mbogo wengine hufika mbali zaidi wakisema kama hutumi pesa basi tafuta mama mwingine ye sio mama yako tena wakati huo umefanya kazi na bos kakupiga shoka wengine wakijua upo mjini wanajua una pesa kumbe chenga ila hamna namna ni kupambana tu huwezi mtupa mzazivijana wenzangu ningependa tuweksne sawa katika hili swala ambalo lina tukuta weng
kwa mfano umepata kazi wazazi nao wanategemea sana wewe kupata kazi baada baada ya wewe kapata kazi kuna maisha yako inatakiwa uyatengeneza changamoto ina kuja hapa mzazi mzazi akishajua kwamba umeshapata kazi hapo ndipo changamoto zinaanza
mzazi anaanza kuku tegemea wew kwakila kitu bila kujali mshara wako Mdogo pia afikilii kwamba nawew unahitaji kutengeneza maisha yako kwanza
hatukatai kumsaidia mzazi nilazima lakini kuna muda unaweza jikuta kwenye maisha unakwama malengo yako yana potea bila kujua nini chanzo kumbe hata wazazi wana changia wakisha jua mwisho wamwezi umekaria sim zinaanza zakuomba Pesa unajikuta malengo ulopanga kwamba nikipokea mshahara nifanye hiki unavuruga unamtumia mzazi usipo mtumia lawama kama zote
jamani wazi mtuache kwanza makampuni yenyewe saivi wana lipa mishahara midogo pengine hata Mimi mahitaji yangu haunisholezi tushsulisne hapa Vijana wenzangu hasa sisi tunao anza maisha tuwekane sawa by Fundy_samwely_tz
Wazazi wetu waliishi enzi za ujamaa tuwasamahe lakini sisi tunapaswa kujiandalia assets za kutusaidia uzeeni tusiwe mzigo kwa watoto wetu.Mmmmm, Eclat, hebu twende tena hapo taratibu... Kumsaidia/kumtuna mzazi ni fadhila, kwamba una hiyari ya kufanya hivyo ama la, na sio Jukumu lako, kwamba unalazimika kufanya hivyo??
Wazazi wa ki Afrika ni changamoto kwa kweli, wao wanafikiri ukisoma ukawa na kazi basi ule mshahara wako ni kwa ajili ya matumizi yao kwa kuwa wametuzaa. Nilipata tabu sana na mzazi wangu, nilitumia njia nyingi za kistaarabu kumuonyesha kuwa nina kipato kidogo kisichokidhi hata mahitaji yangu kwa hyo apokee tu hicho ninachompa na ajitahidi kukitumia kwa utaratibu mzuri. Hakunielewa na akawa analeta ukali. Aisee nilichokuja kumfanya sitasimulia ila aliishia kupata ugonjwa wa moyo na amerudi kwenye mstari. Akipewa kilichopo anashukuru na wala haleti zile lawama zake za kutoridhika. Nilijitahidi kuwa muungwana hakutaka kunielewa. Nilipomuumiza alinielewa. Si vyema kumuumiza mzazi lakini sikuwa na alternative nyingnie ya kumuonyesha kuwa madai yake yamenilemea zaidi ya ku inflict pain. Baada ya kumuumiza kwa sasa kaacha na akipewa kilichopo anashukuru na kukitumia vizuri. Sikushauri utumie mbinu yangu. Mimi niliitumia baada ya kutumia njia ya kistaarabu na kiungwana kushindikana.vijana wenzangu ningependa tuweksne sawa katika hili swala ambalo lina tukuta weng
kwa mfano umepata kazi wazazi nao wanategemea sana wewe kupata kazi baada baada ya wewe kapata kazi kuna maisha yako inatakiwa uyatengeneza changamoto ina kuja hapa mzazi mzazi akishajua kwamba umeshapata kazi hapo ndipo changamoto zinaanza
mzazi anaanza kuku tegemea wew kwakila kitu bila kujali mshara wako Mdogo pia afikilii kwamba nawew unahitaji kutengeneza maisha yako kwanza
hatukatai kumsaidia mzazi nilazima lakini kuna muda unaweza jikuta kwenye maisha unakwama malengo yako yana potea bila kujua nini chanzo kumbe hata wazazi wana changia wakisha jua mwisho wamwezi umekaria sim zinaanza zakuomba Pesa unajikuta malengo ulopanga kwamba nikipokea mshahara nifanye hiki unavuruga unamtumia mzazi usipo mtumia lawama kama zote
jamani wazi mtuache kwanza makampuni yenyewe saivi wana lipa mishahara midogo pengine hata Mimi mahitaji yangu haunisholezi tushsulisne hapa Vijana wenzangu hasa sisi tunao anza maisha tuwekane sawa by Fundy_samwely_tz
Kivip situna shauliana kwani we umeona mi siwatunzi wazazi nichangamoto ambazo zipo kama haija Nikita Mimi kuna watu imewatokea so tuna wekana sawa au sioDuh Unatafuta laana sasa