MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 10,232
- 22,313
Kama hukumlea vizuri hata akikaa nyumbani atafanya tu ushenzi.Hiyo pre sasa, vijukuu vya kike vipo juu juu vimevaa vitop, si mama umeshajihimu huko kutafuta,
Sasa hapo ndo shetani anaanza kujiinua, shetani mwenyewe ni hao hao bodaboda oo saa mbili umfuate binti yangu umpeleke pre kwa mwalimu fulani.
Shetani mwingine wanakutana naye huko kwenye mabus,
Shetani mwingine hao hao asiowapenda yule mwana jf.
Hapo sasa ndo shida inapoanzia