Mzazi asiyejielewa ndiye atampeleka mtoto wake Pre-form one

Mleta mada hakushirikisha ubongo wake vyema ,unakuta mtoto shule ya msingi kasoma hizi za kayumba sekondari kata akikaa vibaya bila backup atapata tabu sana hapo ndipo unakuja umuhimu wa kumtafutia chimbo la kupata kumuweka sawa ila muhimu kuangalia sehemu na mwalimu bora katika hilo na sio kusema hakuna umuhimu kabisa wa hilo jambo.
Anaongea tuu Kuna wanafunz ukimuulza hata why migrant labourer they prefferd anakutazama ni huzuni jmn.... Kweny hesabu
 
Kwa mzazi ambaye kichwa kina chaji hawezi ruhusu huu uhuni, hii inawezekana kwa wazazi wapumbavu pekee, ambao kiwango cha kuwaza ni zero.

Mtoto kasoma miaka 7 sasa kamaliza shule, huyu hapumziki, anaunganishwa aanze kitu kinaitwa Pre-form one, atapigishwa Pre-form one hadi December then January aanze shule.

Na wazazi wengi tulivyo wapumbavu tunaona ndio njia sasa ya kumfanya mtoto aje kuwa kama Elon Musk wa Tesla au Mark Zuckerberg wa Facebook na Whatsapp. Yaani njia ya kumfanya mtoto aweze hata kuvumbua chombo cha kwanza cha Tanzania kwenda Mwezini ni kumpelekea Pre- form one.

Watoto hawana muda wa kupumzisha akili, na hii njia za Pre-form one ni njia za Wazazi kukwepa majukumu, Wazazi wa Kiafrika hawataki kukaa na watoto wao hata kuwafundisha elimu ya Duniani, kumfundisha maisha.

Wahindi sio wajinga kwenda na Watoto wao wa miaka 6 Dukani au Offisini kwao.

Ila sisi Wabongo tunaofanya Biashara eti hatutaki kwenda na Watoto wetu kwenye maeneo ya Biashara angalau waangalie kile tunachofanya, tunadanganywa na wahuni kwamba watoto wanapaswa kwenda Pre-form one kujifunza.

Ni vitu gani wanajifunza huko Pre-form one ambavyo hawatajifunza Sekondari?
sawa nashukuru
 
Binadamu anabidi kuwa busy hakuna Muda wa kupumzika lazima mtoto wangu awe busy shule ,shule Mwanzo mwisho
 
Naunga mkono hoja, ishu ni uelewa finyu wa masuala ya kielimu kwa wazazi wengi. Mi huwa sishangai ufinyu wao wa akili. Kama wazazi wenyewe ni madunya je watoto watakuaje wakati wanarithi vinasaba vyao? Mwanafunzi akianza masomo tu ya form one kuna kitu kinaitwa english base line/orientatio/course anafundishwa mwezi mzima ili kumuandaa kusoma masomo rasmi ya sekondari. Sasa hapo pre form one ina umuhimu gani kama si kumchosha mtoto muda mwingi? Cha ajabu pamoja na kwenda pre form one mtoto bado haelewi kitu, hawezi kuchambua masomo. Kwanza wengi wanafundisha pre form one si walimu kitaaluma na hawajui misingi ya elimu na kanuni za ufundishaji
 
Binadamu anabidi kuwa busy hakuna Muda wa kupumzika lazima mtoto wangu awe busy shule ,shule Mwanzo mwisho
Ata mim mtu asiniambie ni upumbavu.... Upumbavu her/him self......
Kweny swala la mwanangu nasema ntahakikisha namsimamia apate ninacho kitaka...
Asa mtoto unataka awe mhandisi huku fizikia hajui hesabu... Msingi aanzia toka sasa mwelekze nguvu kubwa uko Ila utaskia ooh wapumzkee
 
Naunga mkono hoja, ishu ni uelewa finyu wa masuala ya kielimu kwa wazazi wengi. Mi huwa sishangai ufinyu wao wa akili. Kama wazazi wenye ni madunya je watoto wataktaje wakati wanarithi vinasaba vyao? Mwanafunzi akianza masomo tu ya form one kuna kitu kinaitwa english base line/orientatio/course anafundishwa mwezi mzima ili kumuandaa kusoma masomo rasmi ya sekondari. Sasa hapo pre form one ina umuhimu gani kama si kumchosha mtoto muda mwingi? Cha ajabu pamoja na kwenda pre form one mtoto bado haelewi kitu, hawezi kuchambua masomo. Kwanza wengi wanafundisha pre form one si walimu kitaaluma na hawajui misingi ya elimu na kanuni za ufundishaji
Hio orientation shule zip kuwa specific?
 
Wapo watoto mpk fom two hawajui ku- define masomo msisingizie pre fom one.... Alhamdullilah nmekutana na wanafunz wa kata... Hz standard skul ni uwezo tu watu hawana Ila uko kata sjui kayumba hpn kwakwel
 
Ata mim mtu asiniambie ni upumbavu.... Upumbavu her/him self......
Kweny swala la mwanangu nasema ntahakikisha namsimamia apate ninacho kitaka...
Asa mtoto unataka awe mhandisi huku fizikia hajui hesabu... Msingi aanzia toka sasa mwelekze nguvu kubwa uko Ila utaskia ooh wapumzkee
Upo sahihi Sana Mimi kipindi nasoma nilikuwa namuona Mama mmoja anajinyima anawapeleka tuition watoto na mwisho leo hii ni wahandisi baada ya kuipasua PCM bila Huruma.
 
Ata mim mtu asiniambie ni upumbavu.... Upumbavu her/him self......
Kweny swala la mwanangu nasema ntahakikisha namsimamia apate ninacho kitaka...
Asa mtoto unataka awe mhandisi huku fizikia hajui hesabu... Msingi aanzia toka sasa mwelekze nguvu kubwa uko Ila utaskia ooh wapumzkee
Kukwepa majukumu. Hakuna kitu hapo kwanza nyie hamjajua triend ya Dunia inavyo enda now,Hao watoto watawalaumu sana one Day, sasa jidanganye kwamba kumshindikua tuition na Preform one ndio anakuja kuwa kichwa
 
Sijawahi kwenda tuition yoyote wala upuuzi unaoitwa pre form one tangu naanza chekechea hadi namaliza masomo yangu.

Lakini hakuna mwanafunzi aliyekuwa akinipita darasani na hizo tuition zao uchwara.

Kama hujui ni hujui tu hakuna kinachoongezeka kwenye tuition mzee.

Mtoto anapaswa kupumzika kipindi cha likizo sio kumfanyisha kazi 24/7 kwa mwaka mzima.
Sasa wewe umekuwa Dr au mwandisi watu wana Malengo Makubwa sio hayo mambo yako madogo, madogo.
 
Naunga mkono hoja, ishu ni uelewa finyu wa masuala ya kielimu kwa wazazi wengi. Mi huwa sishangai ufinyu wao wa akili. Kama wazazi wenye ni madunya je watoto wataktaje wakati wanarithi vinasaba vyao? Mwanafunzi akianza masomo tu ya form one kuna kitu kinaitwa english base line/orientatio/course anafundishwa mwezi mzima ili kumuandaa kusoma masomo rasmi ya sekondari. Sasa hapo pre form one ina umuhimu gani kama si kumchosha mtoto muda mwingi? Cha ajabu pamoja na kwenda pre form one mtoto bado haelewi kitu, hawezi kuchambua masomo. Kwanza wengi wanafundisha pre form one si walimu kitaaluma na hawajui misingi ya elimu na kanuni za ufundishaji
Eti wanawafundisha hadi History, Geograph, kiswahili. Ni ujinga mtupu hao wanao wafundisha wenyewe ni full vilaza
 
Mimi nshawaambia
Ety nipeleke mtoto kwa ndugu akafanye nn? Mtoto wako kaa nae Sina muda wa mtoto wangu kuangaliwa vibaya bhn
Umasikini ndio shida, mtoto kwa sasa alipaswa kuwa Vacation huko anapunga upepo, Umasikini unatufanya to force vitu ambavyo havina maana kabisa, tafuta watoro wa kishua kama kuna anaye hangaika na hizo pre
 
Busy sio kusoma tu, shida sijui nani aliwadanganya kwamba u busy ni kusoma masaa 24
Sasa Mkuu Kama wewe shida yako Nini watu wana Malengo Makubwa Mtu unahitaji mwanao form four apige one ya Saba ili umtaftie chuo ulaya ,ebu tulia huna unachojua
 
Kumpeleka mtoto pre fom one sio ujinga mbn shule hz za st na seminary..... Watoto wanaanza masomo October mzee.... Labda mseme tuition center zna tatizo labda lkn I prefer mtoto akachanganyike na wenzake uko...
Wameiga huko,jiulize miaka ya 2000 kurudi nyuma haya mambo yalikuwepo? Hizo ni Biashara full time, Umsikini pia unachangia, tungekuwa na pesa mtoto kwa sasaangekuwa na tikitei mkononi ya. Ndege akamzike hata huko Captown au kokore kule Duniani, Mtoto miaka 7 haijatosha badi tena hakuba kupumzika? Tutafute pesa tuachane na huu ujinga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom