Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 7,411
- 13,967
Nilipanga kumchukulia TABLET YA MASOMO MWANANGU WA STANDARD 4Niliwahi kumshauri huyu mzazi kwamba uwezo wake kiuchumi wa kuweza kufunga wifi nyumbani na kuweza kumnunulia mtoto simu, sio kigezo cha kumwachia mtoto uhuru kwenye ulimwengu wa kidijitali.
Watoto wana uwezo mkubwa sana kujifunza vitu tusiwabeze, Fast forward mtoto alianza kuchimba chimba huko mitandaoni mpaka kujua kutumia vpn
Wazazi wake wanamkuta mtoto akijichua huku anaangalia hizo x kwenye simu, kufatilia zaidi mwalimu wake ni simu na internet.
Wazazi tuwe makini sana na hizi teknolojia.
1. Mpe mtoto simu ukiwa umezima data
2. Mnunulie mtoto simu yake unayoweza kukagua kila anachofanya kwenye history
3. Kama umefunga wifi nyumbani hakikisha watoto wanapata access ukiwepo wewe na kujua wanachofanya
Kwaio unanishaur niache si ndio??!