Mzalendo asiyependa kukaguliwa....

Kwa hiyo kiini cha hasira ya CAG,ni ripoti yake kufungiwa maandazi na Spika badala ya kuiwasirisha PAC ili ijadiliwe?
 
Na magufuli kamweka Doto pale hazina makusudi kabisa.mtoto wa dadake wanajichotea tu Fedha za umma.pumbavu
 
Kwani tatizo liko wapi? si bunge na CAG,naona unaruka ukuta unaenda kwenye serikali
wazee wa sera mbadala bhana
Ikiguswa magogoni, inaonekana hasira zinakupanda sana na kupoteza uelekeo?
 
Mambo yapo wazi ukiona watu hawataki kukaguliwa juwa kuna ufisadi umefanyika anatufanya watoto wadogo anatafuta sababu za kijinga ili wasioneshwe madudu yao... nimeumia sana kwa jinsi Spika anavyotuchezea akili kila kukicha...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…