Mzahamzaha na professional za watu..

Mzahamzaha na professional za watu..

Dr.Dikembe ungeleta balaaa, ila afadhali ulimsaidia kujua nafikikiri hata yeye alikuwa anajishuku ndio maana akangangania kuona kipimo.
 
hivi mkuu wewe unamasihara sana unachukua tu jukumu la kumpima mtu kirahisi bila kusoma sykological yake,bahatimbaya akifa kwa presha hilo ni kosa la kuua kwa kukusudia.na lengo lako hashwa angekua negative ungemuomba mchezo
Sikua na lengo lolote mkuu..Kisababishi ni baada ya kumwambia nina vipimo ndani akataka kupima, na mimi sikuwa na wasiwasi au mawazo hasi kwamba je? akiwanao ntamsaidiaje? au itanisaidia nini asipokuwa nao? baada ya majibu ndipo hayo maswali yakanijia na kujilaumu kwa hilo.
 
Mr mgeni uzuri na umbo la dada huyo lilimwamninisha dikembe kuwa huyo bibie ni negative ... sasa ila nahisi dikembe sasa kajifunza hata mimi nimejifunza pia
 
Back
Top Bottom