tamimusalim
JF-Expert Member
- Jun 17, 2014
- 1,822
- 499
Katika kujiandaa na pambano kubwa kabisa la ubingwa wa dunia wa ngumi , bondia floyd myweather pichani ametengeneza mouthguard" yenye thamani ya dollar 25000 ambayo ni sawa na tsh milion 30 ya kitanzania pambano hilo litalofanyika 2/may/2014 uko Marekani imeelezwa ndio pambano lenye pesa nyingi katika historia ya mapambano ya ngumi hapa duniani, kwani kiingilio cha chini kabisa ni sawa na 3 milion ya kitanzania.