instagramboy
JF-Expert Member
- Oct 16, 2014
- 1,521
- 346
Hata afrika ingewezekana kama tu viongoxi wetu wangefikiri kwa kutumia ubongo...... Maana hxo hela rasilimali za afrika
Only in America:usa2:!
May 2 the earth will stop spinning on its axis.
I'm curious who will walk out Money May.
Will it be Miley Cyrus? Taylor Swift? Justin Bieber? Weezy? Or Young Thug?
USD25000× 1800Tsh=45,000,000/=
mkuu mi nazo tiketi 3 njoo uchukue moja
Usije ukampa joka tu, ticket gani mpaka aje kwako mkuu?
Jamaa si walimpa paragraph asome akazinguaHivi ni kweli myweather kusoma hajui?
Jamaa si walimpa paragraph asome akazingua
Mungu hakupi wala hakunyimi vyote labda uwe kunguni
Kwani kunguni mungu ndio kamnyima vyote mbona anamwenzake mkewe na wanazaa, mbona anakula , anaishi?