Wanamaanisha wametoka taboraHuko mtaani vijana wakikutana wanaitana "Myamwezi" au kabla ya kumpongeza mwenzao kwa jambo lo lote lile utasikia "Myamwezi"
Hivi wana maana gani?
🤣😂😂Ina maana huwa huisikii hiyo 'n' hapo katikati ya hilo neno au umeamua tu kupotosha?
Sorry misspellingsIna maana huwa huisikii hiyo 'n' hapo katikati ya hilo neno au umeamua tu kupotosha?
Hatari sanaKasikilize AMeKOMA ya mh temba ft q chilla halafu uje utuambie side alifanya unyamwezi gani mule ndan
Acha ukabila uchwaraHuko mtaani vijana wakikutana wanaitana "Mnyamwezi" au kabla ya kumpongeza mwenzao kwa jambo lo lote lile utasikia "Mnyamwezi"
Hivi wana maana gani?
Mimi au hao vijana wanaoitana wanyamwezi!Acha ukabila uchwara