wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 26,590
- 29,493
Huko mtaani vijana wakikutana wanaitana "Mnyamwezi" au kabla ya kumpongeza mwenzao kwa jambo lo lote lile utasikia "Mnyamwezi"
Hivi wana maana gani?
Kwani wee humjui side?
Huko mtaani vijana wakikutana wanaitana "Mnyamwezi" au kabla ya kumpongeza mwenzao kwa jambo lo lote lile utasikia "Mnyamwezi"
Hivi wana maana gani?
Ndiyo nani?Kwani wee humjui side?
Hili neno la mnyamwezi limetokana na historia ya wanyamwezi kupambana na kuwashinda wangoni wasisonge mbele na kurudi nyuma kwenda kujichimbia songea. Makabila mengine yaliwasifia kwa ushujaa wao na kuona kila mtu anaye fanya vizuri ni mnyamwezi fulani.Huko mtaani vijana wakikutana wanaitana "Mnyamwezi" au kabla ya kumpongeza mwenzao kwa jambo lo lote lile utasikia "Mnyamwezi"
Hivi wana maana gani?
Na wanaume pia ni watamu?Kule asali inakorinwa, inakotoka, asili yake....
Wake kwa Waume wa Kinywamwezi....
Utamu wao ni zaidi ya asali, wasiofahamu asili wanaishia kusema Wanyamwezi ni walozi, ila wangejuaaa....
Ukichanganya na karanga.....😋😋😋😋
Wanyamwezi Hooyeeee...!!!
Na wanaume pia ni watamu?
🤣🤣🤣Saanaaaaa
Ile ndudana yao utasema inatema asali, yaani unajikuta unameza tuuu unaramba unameza tuuu....
Akianza kulima sasa, heeeeh, hata majasho yanatoka ya sukari....😋😋😋
Ile ardhi imebarikiwa aiseeeh, kuanzia mazao hadi watu wenyewe....
Pata Mnyamwezi aliyelelewa anakula matobolwa, asali, karanga, asali na mahama.....
Utamu wake utasema umewekewa tego kumbe.... asili tuu.
Basi tuu.... 🎤 ⬇️
mzigo mkubwa mpe myamweziHuko mtaani vijana wakikutana wanaitana "Mnyamwezi" au kabla ya kumpongeza mwenzao kwa jambo lo lote lile utasikia "Mnyamwezi"
Hivi wana maana gani?
wanayamwezi ni kabila maarufu tungu utumwa ndio kabila la kwanza tz kuishi dar zazimbar wapo wengi pia kabila hili halina ubaguziHuko mtaani vijana wakikutana wanaitana "Mnyamwezi" au kabla ya kumpongeza mwenzao kwa jambo lo lote lile utasikia "Mnyamwezi"
Hivi wana maana gani?
Ndiyo nani?
Hawa watu si wabaguzi kabisaa yaani..wanayamwezi ni kabila maarufu tungu utumwa ndio kabila la kwanza tz kuishi dar zazimbar wapo wengi pia kabila hili halina ubaguzi