Myahudi au mwanamke au mbwa akipita karibu na muislamu wakati wa maombi, hayo maombi yatakatizwa

Myahudi au mwanamke au mbwa akipita karibu na muislamu wakati wa maombi, hayo maombi yatakatizwa

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
33,476
Reaction score
53,335
Hapa naona imekatazwa mbwa au mwanamke au Myahudi asipitie karibu na muislamu wakati wa maombi, kwa hivyo wanawake au jamii ya Wayahudi wanachukuliwa kama nini kwenye uislamu, kuna sehemu nimesoma Mohamad aliagiza mbwa weusi wauawe.

Book 2, Number 0704:
Narrated Abdullah ibn Abbas:
Ikrimah reported on the authority of Ibn Abbas, saying: I think the Apostle of Allah (peace be upon him) said: When one of you prays without a barrier (or line drawn in sand, 1.5 meters or more from place of prostration [AT]), a dog, an ass, a pig, a Jew, a Magian, and a woman cut off his prayer, but it will suffice if they pass in front of him at a distance of over a stone's throw.
 
Nilikua sipendi kujishughulsha na baadhi ya hizi dini ikiwemo uislamu, nilikua nawaacha kila mmoja kwenye imani yake, nilizoea kusoma maugaidi ya waislamu huko Mashariki ya Kati ila najisemea watajuana wenyewe huko, lakini pale waislamu walianza kuchinja watu huku kwetu nikaamua nitafiti kidogo kuwahusu, ila kila ninaposoma nakutana na maujuha ya ajab.
jiulize sasa watu wa namna hii wataishi vipi kwa amani dunia hii.
 
Back
Top Bottom