my wife hataki nitumie internet

my wife hataki nitumie internet

Watu wengine wana akili nusu kikombe.
Dunia ya leo usitumie Internet, E-mails unapokeaje, taarifa mpya unazipataje?
Halafu ukitaka ku-google unafanyaje.

Yaani wakati Dunia inakwenda mbele kuna wengine wanarudi kinyumenyume!
Sasa naamini kizazi cha wanaume kinazidi kupungua

wakiume wapo wengi....ila wanaume wako wachache sana........ Ndo maana wanakatazana kutumia internet...sijui alikuwa na lengo lipi kumkataza mwenzie...amepewa taste of his own medicine analia sasa....
 
Kama baba na mama hawatumii internet obviously watoto pia watakatazwa. Can you imagne future ya familia ya huyu dogo?

Dogo anahitaji msaada wa kumtoa kwenye ushamba la svyo familia yake itaangamia...
 
Daaaaa
nimecheka sana yaniiii!
Jf raha tupu
Kweli wewe unafaa sana kwa kutengeza swali na kisha kujijibu. Nadhani baadae utakuja na jibu kuwa sababu ulizokuwa nazo wewe kumzuia ndio na yeye anazitumia kukuzuia.
 
ha ha ha... Jf bhana, kwel akili ni kichwa kila mtu ana chake!
 
Ugonjwa ulio nao kumkataza mtu kutumia internet haitakuwa suluhu yake! Daaa alaf bila aibu unatangaza kuwa umefanya hivyo! Hivi msichana wa kumnyanyasa kiasi hiki umemtoa wapi? Huu ni ujinga!
ndo hivyo wanaume wnzangu,mwanamke kanuna leo cku ya tatu kisa na mm nisiingie huku naona km analeta mashndano flan hv ukizingatia nampenda duh nimechoka sn
 
Kama baba na mama hawatumii internet obviously watoto pia watakatazwa. Can you imagne future ya familia ya huyu dogo?

Dogo anahitaji msaada wa kumtoa kwenye ushamba la svyo familia yake itaangamia...

ya kwako isiyoangamia ni ipi ? Acha ukeyi ww.
 
Ugonjwa ulio nao kumkataza mtu kutumia internet haitakuwa suluhu yake! Daaa alaf bila aibu unatangaza kuwa umefanya hivyo! Hivi msichana wa kumnyanyasa kiasi hiki umemtoa wapi? Huu ni ujinga!

hakuna kitu kibaya my loya kama mwanaume kutokujiamini.

Wanaanzaga hivyo hivyo leo anakukataza fb....kesho jf ...mtondogoo inakatazwa kutumia internet kisha unapigwa marufuku baadhi ya marafiki halafu utaambiwa hakuna kupaka perfume, marufuku kupaka make up kata nywele marufuku kwenda saluni, the utaambiwa marufuku kwenda kwenu kusalimia hata ukitokea msiba.....mwisho utaambiwa marufuku kumiliki simu....

Na mwanamke anayekubali nae kiazi.........
 
Yawezekana jamaa alikuwa anatumia internet kwa ajili ya mambo ya kipuuzi puuzi na si kwa mambo ya kujenga. Huyu jamaa nahisi hajasema ukweli wote maana mtu mwenye akili timamu hawezi kumzuia mwenzake kucheck mambo yanayojenga.
Kama ulizuiwa,mbona hujasikia ukaja Jf tena?
Msikiliye mke wako,omba radhi kwa upuuzi uliokuwa ukifanya na ukiri kuuacha kabisa. Mi siangalii upande mmoja tu.
 
Mna matatizo nyie! Matatizo ya uhusiano wenu na wala sio matumiz ya intanet. Hamna mawasiliano mazuri, mpo pamoja ndani ya nyumba and thats it! Acheni uvivu, tengenezeni uhusiano wenu! Na ushamba muache!
 
ndo hivyo wanaume wnzangu,mwanamke kanuna leo cku ya tatu kisa na mm nisiingie huku naona km analeta mashndano flan hv ukizingatia nampenda duh nimechoka sn

just simple uacheeeee! ... Wewe si kiroho kilikuwa chakudunda akiingia yeye, na kwake ndo hivyoooooooo.. Achaaa.
 
hakuna kitu kibaya my loya kama mwanaume kutokujiamini.

Wanaanzaga hivyo hivyo leo anakukataza fb....kesho jf ...mtondogoo inakatazwa kutumia internet kisha unapigwa marufuku baadhi ya marafiki halafu utaambiwa hakuna kupaka perfume, marufuku kupaka make up kata nywele marufuku kwenda saluni, the utaambiwa marufuku kwenda kwenu kusalimia hata ukitokea msiba.....mwisho utaambiwa marufuku kumiliki simu....

Na mwanamke anayekubali nae kiazi.........
Khaaaaaaaaaaaaaaa! haki ya Mungu mm naona atanichinja , yaani ananitoa kwenye mwanga ananipeleka kizani, na mm naenda tu kisa nn ? Kuolewa kwa hilo hapana.
 
Sio ushamba itakuwa ni ujinga..Kuna watu wspo shamba/washamba but still wanatumia internet..
Na huyo mkewe kafanya vema ngoma iwe droo
Yaani huyo anafanya yala ya chongo kwa Mnyamwezi , kwa Mzaramo bahati mbaya. wakati wote wameumbwa na Mungu.
 
threed stop! Nimeshamalizana na mamangina wangu! Staki umbea hapa.
 
sikiliza triple A,katika ulimwengu wasasa internet ni muhimu sana, isipokuwa kunamipaka ya utumiaji kwa mambo yaliyo muhimu sana, mfano mm na mkewangu tulikubaliana kutotumia fb wote baada yakuona madhara yake kama upotevu wa mda,kutongozana tu. Isipokuwa tunatumikwa mambo ya msingi kama kupata taarifa na kupashana, kimasomo.elimishanane tu.
 
kama ulikuwepo mkuu! Issue ndo iko hiv kwa sasa.
 
Internet ipi fafanua maana kuna internet nyingi kweli siku hizi....................?:A S 39:
 
Back
Top Bottom