yeye nilimnyima ndo maana anataka na mm nisitumie ngoma iwe droo
km huna mchango kujoa kalale
Watu wengine wana akili nusu kikombe.
Dunia ya leo usitumie Internet, E-mails unapokeaje, taarifa mpya unazipataje?
Halafu ukitaka ku-google unafanyaje.
Yaani wakati Dunia inakwenda mbele kuna wengine wanarudi kinyumenyume!
Sasa naamini kizazi cha wanaume kinazidi kupungua
amejiunga na mitandao km fb nk so kila wkt anakuwa anachat na watu bila sbbu za msng
hahahahahahahah,Naruda tena kuwa ni USHAMBA. Mnatengeneza familia ya kishamba. Dunia hii mnakatazana kutumia internet!!!USHAMBA...
ndo hivyo wanaume wnzangu,mwanamke kanuna leo cku ya tatu kisa na mm nisiingie huku naona km analeta mashndano flan hv ukizingatia nampenda duh nimechoka sn