BLUE BALAA
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 1,222
- 786
Pole sana
As long as u made the day for ur beloved wife kwa kumpa KIPONDO, then u should be very happy and proud of urself. Sasa ndo ataamini haswa ulikuwa na mtu. Asipokuacha, subiria maumivu yake maana atakuwa ana-plot revenge.
Guys my day has been spoiled by my beloved wife. Jana jioni nili mdrop home then mimi nikageuza kwenda Club kupiga story kidogo japokuwa nimesimama pombe sababu za kiafya. Dont think if this could be an excuse ya mimi kuto hang kabisa na friends. Later alinipigia just to check my position. I told her where I am and she knows the joint. Alikuwa kama haamini vile but I told that I am there and she could just walk in if she feels like. Hakuja ila nami nilikaa mpaka around saa nne usiku then I went back home.
Asubuhi hii eti analeta zangwe kwamba nilikuwa na mwanamke ndio maana nili mdrop haraka haraka na kurudi town. Kweli nijijitahidi sana kumuelezea hakuelewa ilichofuata ilibidi nitoe KIPONDO. Shida ya wanawake wetu wa kiswahili wanaishi kwa kuhisihisi tu. Kweli nimekasirika sana and my whole day is spoiled.
Mkubwa mbona unanishuhudia uwongo?
Kwanini ulimdrop na ukaenda club alone?
wewe kwanini usingeenda na mkeo?
Tangu lini watu wanaenda club kupiga story?
tangu lini mgogoro ukatatuliwa kwa mangumi?
Ulipoingia kwenye ndoa kumbuka uli surrender part of your sovereignty to her.kubali ukihojiwa kwani ana haki ya kufanya hivyo.
Haya yote umeyaleta mwenyewe na bado wamlaumu mkeo,namuonea huruma kwan she married an immature man.
OTIS
Ivi ulimwengu huu bado tu kuna wanandoa wanaodundana mangumi tu?
Asante ndugu