My upcoming trip to Jordan

Kama misosi yako ni ile ya Mc Donald lazima utakuwa na hobby za kusafiri nchi mbalimbali. Kama misosi yoko ni mlenda na dagaa kauzu bro! Kichwa lazima iende resi Sana.
 
Wengine tuwe wapenzi wasomaji maana hata hapo Kenya tuu sijui nitaenda lini?

Safari za ndani zenyewe ni shida tuu
Huko nje tutaweza kweli

H o n g e r a yako mkuu 👏
Ahsante sana mkuu.

Ila penye nia pana njia ujue
 
Daah mimi nikitengeneza list nahisi nitafikisha nchi zaidi ya 50 na sitajua ipi niweke ya kwanza ipi niweke ya mwisho maana natamani ningekuwa na uwezo wa kujigawa nitembelee zote kwa wakati mmoja
😄😄😄😄😄😄😄😄

Pole pole mkuu. Haya mambo nayo yanahitaji mipango ujue. Coz ukiweza kutembea 2 countries per year basi uko vizuri
 
Bado sijioni kama msafiri mkuu, bado sana yaani nikianza kuenda nje kama wewe hivi hapo ndiyo naweza kusema mimi ni msafiri.

Sasa mkuu mwaka 2022 hauna mpango wa kuenda kucheck kombe la dunia live kule Qatar??
2022?? why not?? However that's a long short you know
 
Mkuu naomba when the time is right nkutafute.

Umetembelea nchi ngapi mpaka sasa?? Zishafika 100??? Hongera mzee you have lived your life aiseeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…