My thoughts, what are yours?

Hiyo ni kweli. Ukishakuwa kwenye ndoa kunakuwa na ka utegemezi fulani (dependency). Unahisi kuwa maisha hayawezekani bila ya yeye. Mfano hata mkigombana siku hiyo hata kazini wanaweza ku notice; kazi haziendi kabisa. Kwa hiyo ili mumeo au mkeo awe successful career wise lazima umpe peace of mind na umpe total support ya mawazo na matendo pia. Mimi naweza sema hata kama ndoa yangu si perfect the only person anayejali mafanikio yangu ni mume wangu; hata yeye nadhani ni same.

Mfano wakimuudhi ofisini wa kwanza kuja kumsimulia ni mimi; na mimi nasikiliza kwa umakini mkubwa na hata kama wakati mwingine naona kabisa kuwa yeye ndo kachemka; namwambia achana nao hao mume wangu wanakuone gere (moyoni najua nimesema uongo ila that was what he wanted to hear).

The critical task is to mantain LOVE and how to have common stand during crisis.Marriage and family are informal organisation but perform functions like formal organisation then once crisises emerge in family or marriage it does not mean failure or wither of love it just benefitial to those who are in love even though most couples tend to break up because of crisises.It better to use crisises for learning hence strengthen marriage and family if not LOVE then this makes us to live as we can not as we wish,hoped,want,need,see or think.

Salanga kuna uwezekano "The two or both of you do not know what they want or what they need" huu kujitokeza kweli???

Kuna uwezekano mmoja au wote wawili are behaving in a manner that suggests something else but not what one wants actually, that is not knowing what u want.

Na wale wanaosema kabla ya kuoa/kunioa ulinikuta hivi kwanini unataka kunibadilisha hao unasemaje??

That is what is not knowing what u want.

Now u want marriage,but u do not want to adapt to it,then u cant stay in marriage in its broad sense.

Nyumba kubwa thanx for your input kuna kitu umeniongezea, once again thanx for sharing with us your experience

Kuna uwezekano mmoja au wote wawili are behaving in a manner that suggests something else but not what one wants actually, that is not knowing what u want.

Got you Salanga thanx.

Alexism thanx for your comments

mie bado naendelea kusoma comment zenu mkwe nitakuja na comments zangu baadae ...

Nimeipenda sana hii sina cha kuongeza kwa kweli

Marriages do not fail because of the things you can live with, marriages fail because of the things you can't live with

Yeah but we need a heart to tolerate anything from our partnerambacho kwa wengi ni ngumu
Kuvumilia na kukubali udhaifu wa mwenzako na kuuelewa kuwa huu udhaifu hutaweza kuuondoa kwa njia yoyote
Ni wangapi wako tayari kufanya hivyo
Je mwenza wako anafanya kusudi kutouacha au anajipa matumaini kuwa unaweza kuisha
Je kila mmoja yuko tayari kwa hilo kukubali na kuishi na madhaifu ya kila mmoja na kuyakubali

Mimi huwa najiuliza pale mnapofunga ndoa na mnakula kile kiapo na kusema kwa "SHIDA NA RAHA" hapo maana yake hata yale mapungufu na yenyewe unayakubali baada ya mwaka unasikia people nagging thou siwezi kukataa pale watu wanapoeleza matatizo ya wenza wao saa zingine inakuwa ni kwa ajli ya kupata ushauri ili wengine huwa wanaenda to the extent ya kuanza kudhalilisha wenzi wao as if hawana maana kwao

Hio belief hapo juu ndio hufanya watu wasahau kua kila binadamu lazima ana madhaifu... na kua it is best to live na madhaifu ya ulonae for tayari unayajua kuliko yule ambae humjui... na kua waweza ona mwenzio ana madhaifu saaana na kila saa ukalalama kwake - na hali huyo mwenzio anaona the same thing kwako ila sababu tu huyo mwenzio hana tabia ya kulalama na hua anamezea basi unajiona you are better that the other... Ndo unajikuta waweza achia hio Ngazi ya chuma only to find unakutana na ya mbao ilochakaa na kuvamiwa na mchwa!

Mkuu nafikiri kuna watu wanasome kile kiapo kama hadithi ( tena sio hadithi tuu maana kuna hadithi nilisoma nikiwa mdogo mpaka leo nazikumbuka)
Nafikiri wanasome kama wajibu kutimiza kile wanachoambiwa kufanya ila ukweli halisi haumo moyoni mwao na hawajui wanaapa nini
Unaposema kwa "Shida na Raha" unamaanisha kwa kila kitu shida za mwenzako na raha zake zote ikiwa ni pamoja na mapungufu yake. Kama unajikuta mwenza wako ana shida suluhisho sio kwenda kuwatangazia watu wa pembeni ila ni kukaa nae mjaribu nyie wenyewe kwanza kusolve lile tatizo na mkiona hakuna mafanikio mnawaona wataalam husika sio kwenida kukimbilia kwa washkaji zako unaenda kumtangaza mkeo kuwa ana mapungufu haya na haya
Unategemea kwa washkaji zako watakupa nini au watakusaidia nini (ambapo washkaji zako asilimia sifuri ni rafiki kweli wengine waliobaki ni wanafiki wa kutupwa wanatafuta habari za kukusema na kukuharibia)
Tufike mahali tuseme kuwa zile habari za ndani ya kuta nne za kile chumba unakiita master bed room ziwe za mle mle na tujifunze kutatua mambo ya ndani ya nyumba kabla ya kuwafaidisha watu wa nje
Ndo maana wengi wa wanandoa hata wakiwa na differences huwezi elewa muda wote wana raha na wanajitahidi kumaliza tofauti zao kabla jua kuzama wakiwa ndani ya chumba chao bila watu wa nje kujua ni nini kinaendelea mle ndani

Kabisa nakubaliana na wewe
tatizo linalotokea ni kuwa watu wanashindwa kukubaliana na madhaifu ya kila mmoja na kuchukua madhaifu hayo kama challenge ya kusonga mbele
Yaani kujikubali na kukubali yale ya mwenzako na kuyaona kama ni njia moja ya kuweza kusonga kwenye mafanikio zaidi

Umenikumbusha 80 Percent vs 20 Percent

PA maneno yanayozungumzwa wakati wa kufunga ndoa ni MAZITO mno.. Laiti every single phrase ingekua inazingatiwa - basi haya matatizo yasingekuwepo kabisa... Hio phrase sio applicable in most cases... Kwanza kabisa unakuta vigezo vilivowavuta na kuwafanya muoane ni uwezo wa kila mmoja ama mmoja wao.... sasa Kweli kwa SHIDA NA RAHA itaingia hapo?? Naona ndio maana in most cases magharibi siku hizi they write their own lines ... Which could go "I will love you untill i do not desire you any more - and then we will live like neighbors in harmony" - Well hapa I kid kidogo, but that is the whole idea and how yale maneno yamkua kama hayana maaana.

Kuna mkasa mmoja nilikuwa nausikiliza kwenye redio fulani hivi mwanaume amezaa watoto na mwanamke katika kufarakana mwanaume akamwambia mwanamke "Kama wewe kweli ni mwanamke nionyeshe uanamke wako uko sehemu gani" hayo maneno binafsi mimi mwenyewe yaliniuma sana maana mwanamke alikuwa anaongea kwa uchungu kwamba mume wangu ataniambiaje mimi hayo maneno wakati anafahamu fika kwamba nimezaa naye watoto

Problem inakuja tu pale... kua Rocky waelewa hilo... But your better half ni kichaa... Dah! Ndoa hizi... only GOD knows....

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…