My principle: huwa silali kwa watu, wala kula chakula kwa watu

Hello guys,

Nlivokuwa shule ya msingi na sekondari i was obsessed likizo ifike ili nikaishi kwa ndugu kwa miezi kadhaa, ila nlivofika 18 yrs and above nkaanza kuona dunia halisi jinsi ilivyo, so nlichukua maamuzi yafuatayo:

Nina miaka kama 2 na nusu hivi nimekuwa nikiishi kwa kutumia hizi principles:

1) Silali kwa mtu yoyote including kwa ndugu. Hata ikitokea wakaniomba nilale kwao, huwa nafikiri kuwa watu wengi ni wanafiki, watakuomba ulale kwao coz wanajua you are beneficial (unajiweza kiuchumi) or you will be beneficial for them in the future, na sio out of love. So uwe tajiri au maskini hata ikinitokea emergency kwako silali bure, ntakulipa kodi.

2) Nikimtembelea mtu simpi huyo mtu nafasi ya kunikaribisha kinywaji wala kunikaribisha msosi, nafika kwako nakusalimia baada ya dk 2 naondoka kwa kisingizio kuwa niko busy, kumbe walaa siko busy kwa muda huo. Nitakula kwako siku ukiandaa sherehe coz najua ntakutana na watu wengine for connection.

I do this coz nafikiri watu wengi hawapendi wageni ila basi tu inawabidi, binadamu wengi tumekuwa hatupendani, tunawaziana mabaya, na tumekuwa wabinafsi zaidi, so nimeona niishi hili life nipunguze kero kwa watu.

Those days ambazo nlikuwa natumia miezi 2 kukaa kwa ndugu ulikuwa ni utoto, those days are gone.
You've said it well.
Ni kweli ndugu ni Tatizo sana. Especially Ukiwa na ndugu anayeishi Dar halafu ukawa unaishi mkoani. Na wengi hua wadokozi akikutembelea lazima akuibie na kujifanya anamaisha ya hali ya juu, kumbe ni ombaomba. Ila angalau wewe unawatembelea. Mimi siwatembelei kabisa. Unless tukutane matukio ya lazima. Udugu ulikua zamani. Sikuhizi unathaminiwa kwakua tu unapesa ya kubadilisha mboga. Kwenye shida unakufa mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haha eti sifa za kinafki, uchoyo wangu huko wapi sasa interegenciadick
Wew hata wakuseme kula tu watajua wao n kwanin ukaribishwe n wew ukatae kula? Ivyo ivyo unatengeneza mazingira ht kwako wasile kumbuka n vitoto vyako vitarithi izi tabia na kusumbua dunia kuwa watoto wamechukua uchoyo wa baba ake.... Kusemwa umeanz weee bobu.?
 
Hello guys,

Nlivokuwa shule ya msingi na sekondari i was obsessed likizo ifike ili nikaishi kwa ndugu kwa miezi kadhaa, ila nlivofika 18 yrs and above nkaanza kuona dunia halisi jinsi ilivyo, so nlichukua maamuzi yafuatayo:

Nina miaka kama 2 na nusu hivi nimekuwa nikiishi kwa kutumia hizi principles:

1) Silali kwa mtu yoyote including kwa ndugu. Hata ikitokea wakaniomba nilale kwao, huwa nafikiri kuwa watu wengi ni wanafiki, watakuomba ulale kwao coz wanajua you are beneficial (unajiweza kiuchumi) or you will be beneficial for them in the future, na sio out of love. So uwe tajiri au maskini hata ikinitokea emergency kwako silali bure, ntakulipa kodi.

2) Nikimtembelea mtu simpi huyo mtu nafasi ya kunikaribisha kinywaji wala kunikaribisha msosi, nafika kwako nakusalimia baada ya dk 2 naondoka kwa kisingizio kuwa niko busy, kumbe walaa siko busy kwa muda huo. Nitakula kwako siku ukiandaa sherehe coz najua ntakutana na watu wengine for connection.

I do this coz nafikiri watu wengi hawapendi wageni ila basi tu inawabidi, binadamu wengi tumekuwa hatupendani, tunawaziana mabaya, na tumekuwa wabinafsi zaidi, so nimeona niishi hili life nipunguze kero kwa watu.

Those days ambazo nlikuwa natumia miezi 2 kukaa kwa ndugu ulikuwa ni utoto, those days are gone.
Siku ulkipatwa majanga mbona utaoga hadi kwa watu
 
Siku ulkipatwa majanga mbona utaoga hadi kwa watu
Watu hufikia maamuzi haya baada ya kugundua kua hata Wanapofikwa na majanga hakuna ndugu anayejitoa kukusaidia.

Kwakua ni ngumu sana kuelezea how complex relationship is among relatives.
Mi naona chamsingi, listen to your own gut.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Badilika haraka sana, una matatizo huenda nikauita ugonjwa, hivyo kutana na wanasaikolojia wakusaidie. Selfishness kila MTU anayo ila isizidi,ikizidi ni mateso! Nakwambia Mungu hutumia vinyonge kuabisha wenye kujikweza,majivuno,na kujiona wanajitosheleza.
 
Ipo siku watatengua maamuzi yao
Of course.
Mara nyingi ndugu wanaanza kukumbukana wanapozeeka ama ugonjwa WA kumuua MTU.
Ndio hupatanishwa. Na hapa utakuta muda, na mambo mengi yalishapita na hasara ambayo hairekebishiki imekwisha tokea.

So before all of that, you better listen what you gut tells you to do and act promptly.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna kwakweli but seems wewe ni mchoyo, ubinafsi unao sana
how perfect are u?
 
Watu wenye mawazo negative aka wakujishtukia nilishauriwa nikae nao mbali
 
Back
Top Bottom