My principle: huwa silali kwa watu, wala kula chakula kwa watu

Aise shukrani mkuu, bora ya wewe umenielewa, wengine wanadhani nafanya hivyo coz mm ni mchoyo Truths
Unaenda kusalimia mara unasikia dogo anachapwa na mama mtu huku akisema "Hii tabia ya kuchafua choo imeanza lini?". Hiyo kauli inakuwa ni Message Sent kwako kuptia kwa mtoto maana hapo awali uchafuzi wa choo ulikuwa haupo.

NDUGU LAWAMA
 
Haha eti sifa za kinafki, uchoyo wangu huko wapi sasa interegenciadick
Mkuu leo ninaishi nje ya nchi ni watu walinifanya hivi!! Hata huku nina kazi ni watu haohao!!

Nilipata kazi bongo ni watu tena wadada wadogo tu.
Kifupi nilipata maisha mazuri tena serikalini ajili ya watu.
sasa hawa huwa nawaomba nilipe ule wema hata kimya kimya.

Mmoja nimechukua mtoto wake ninae hapa nahakikisha anasoma.

Hata wabaya walinivusha bila kujua
Mmoja alikuwa ananipa kazi za hovyo hovyo lkn kumbe alikuwa ananijenga nilimpa zawadi akanishangaa!!

Nilipata mtonyo nje ya nchi ni watu hao hao!!
Hawa lazima niwalipe ninaomba kila siku Mungu anipe hekima niwalipe

wengine hata sijui ntafika lini Mwanza ila naomba sana kwa Mungu km yupo hawa niwalipe mema ...

familia ya Mzee Nyakazilibe Mwanza natamani hata apite kwangu anywe maji tu!!
Mheshimiwa jakaya kikwete...duuu!Mungu ampe maisha marefu na familia yake yote!!

Mtu anakusaidia mpaka unatoa chozi jamani heeee!!.....Duniani kumbe tuko tofauti sana.

Sijui roho mbayaaaaa...lkn naheshimu watu mnooooo...Km nilikosea mahsli huko nyuma Mungu anisamehe!! Lkn watuuuuu!!
 
Hello guys,

Nlivokuwa shule ya msingi na sekondari i was obsessed likizo ifike ili nikaishi kwa ndugu kwa miezi kadhaa, ila nlivofika 18 yrs and above nkaanza kuona dunia halisi jinsi ilivyo, so nlichukua maamuzi yafuatayo:

Nina miaka kama 2 na nusu hivi nimekuwa nikiishi kwa kutumia hizi principles:

1) Silali kwa mtu yoyote including kwa ndugu. Hata ikitokea wakaniomba nilale kwao, huwa nafikiri kuwa watu wengi ni wanafiki, watakuomba ulale kwao coz wanajua you are beneficial (unajiweza kiuchumi) or you will be beneficial for them in the future, na sio out of love. So uwe tajiri au maskini hata ikinitokea emergency kwako silali bure, ntakulipa kodi.

2) Nikimtembelea mtu simpi huyo mtu nafasi ya kunikaribisha kinywaji wala kunikaribisha msosi, nafika kwako nakusalimia baada ya dk 2 naondoka kwa kisingizio kuwa niko busy, kumbe walaa siko busy kwa muda huo. Nitakula kwako siku ukiandaa sherehe coz najua ntakutana na watu wengine for connection.

I do this coz nafikiri watu wengi hawapendi wageni ila basi tu inawabidi, binadamu wengi tumekuwa hatupendani, tunawaziana mabaya, na tumekuwa wabinafsi zaidi, so nimeona niishi hili life nipunguze kero kwa watu.

Those days ambazo nlikuwa natumia miezi 2 kukaa kwa ndugu ulikuwa ni utoto, those days are gone.
Ni moja ya dalili za matatizo ya akili...au unapesa sana?una maadui wengi?una mabaya gani ushayafanya/unayafanya?au we mchawi?jitafakari kwa sababu haupo sawa
 
Back
Top Bottom