my life is meaningless

my life is meaningless

Thats why I like JF, when there is a real threat out there people becomes one and offers great ideas and moral support.

Back to the topic, suicide has never been a solution to any problem. Just follow what others have put forward but the very first step is to stay away (for a while) from that bastard in order to calm the wheels of your mind and regain composure and emotional balance. Believe it or not, emotional torture is a silent killer. You are too good to succumb to emotional pang. You have the capacity to choose. Choose happiness. Choose Life.
 
Ehhh ehhh, Ilumbulyane, usije vunja SIKIRINI ya Laputopu yako kwa hasira utakaporudi. Mwaendeleaje huko lakini?
Duuuuh Pole sana ..yaani kurudi asubuhi kwanza huyo husband ..ngoja hasira zitulie gugu narudi
 
Ahhh, mie mvivu sana wa kusoma Hostoria. Nitaanzia hapa tulipo na kuendelea..... Vinginevyo nitamuuliza Dada yangu Kaunga anipe habari kwa undani wake wakati tukipata Uji wa Asali atakapopita hapa Sikonge siku moja.
hebu tafuta kwanza maandiko yangu, bila shaka hutapata shida kujua nimeangukia upande gani maana nipo open mno......
kila la heri kwenye kugombea ubunge......
ukishatangaza nia uje kuomba support.....
 
Last edited by a moderator:
Ahhh, mie mvivu sana wa kusoma Hostoria. Nitaanzia hapa tulipo na kuendelea..... Vinginevyo nitamuuliza Dada yangu Kaunga anipe habari kwa undani wake wakati tukipata Uji wa Asali atakapopita hapa Sikonge siku moja.
hilo litakuwa la maana zaidi, maana dadako huyo ananifahamu saaaaanaaaaa, mpaka naogopa, lol!
 
Absolutely it hurts very much indeed,bt lyf can't b comparable to love affairs(to me)! "love him he who loves u and he who doesnt,sit apart from him"ndo mtamzamo wngu,bt sister,why all these upon u? Take it into accounts.
 
hilo litakuwa la maana zaidi, maana dadako huyo ananifahamu saaaaanaaaaa, mpaka naogopa, lol!


JF huwa inafurahisha kweli inapokuja michango ya mahusiano kuna watu humu wananchangia utadhani wanauzoefu wa mahusiano over years and years kumbe wako kwenye Ugirl friend na U Boy Friend wengine wezi wa wame za wetu humu balaa. Mimi yangu haya hapa ndugu yangu Guru.
TAFAKARI, Jitahidi kuishi hivi:
(1) Usimchukie yeyote, Hata kama atakukosea vipi
(2) Ishi Maisha ya kawaida, Hata kama upo juu
(3) Tarajia ushindi, Hata kama Mapito ni magumu
(4) Toa maamuzi yako, Hata kama utashawishiwa
(5) Onesha tabasam, Hata kama Moyo unavuja Damu
(6) Usiache kuwaombea maadui zako na kumweka Mungu mbele katika kila jambo!
 
JF huwa inafurahisha kweli inapokuja michango ya mahusiano kuna watu humu wananchangia utadhani wanauzoefu wa mahusiano over years and years kumbe wako kwenye Ugirl friend na U Boy Friend wengine wezi wa wame za wetu humu balaa.
wait a minute....
hili dongo ni langu?
 
wait a minute....
hili dongo ni langu?
wala siyo lako ila Generally huwa watu wanakuwa wakufunzi balaa kwenye hii mada halafu ukibahatika kukutana naye halafu ukauliza amepitia mangapi au anauelewa gani kwenye hii anga mungu angu utasema kwa nini unamshauri afanye kitu ambacho hata mshauri hajawahi fanya?
 
yaani kitendo cha KUFIKIRIA KUUTOA UHAI WAKE kisa mwanaume kimenisikitisha sana kwakweli, tena ni mmama huyo anafikiria hivyo, so selfish of her.
ukishakuwa mzazi, maisha yako tena a large part should be around the being uliomleta duniani. Kila kitu unachofanya unatakiwa umfikirie mtoto; sasa imagine mtu anataka kumuacha mtoto yatima tena anamuachia huyo mbaba ambaye yeye amekuwa abused kwa mtoto itakuwaje?

watu wa hivi ninawaita ni watu wabinafsi wa kupindukia. tafsiri ya haraka mtu kama huyu aweza kuona hata mtoto wake aliye zaaa yeye ndiyo moja ya kizuizi cha yeye kutopendwa na mumewe. ukisha kuwa mzazi iwe ni kwa bahati mbaya au kwa kupanga , iwe umesoma au hukusoma , mara nyingi akili hubadilika na hupanuka na kuchukua mtazamo ule wa kuwa mimi ndo mlinzi na ushindi wa kiumbe huyu nilie mleta hapa duniani . sasa ninamshangaa huyu "gugu" ni mama wa aina gani !. me nilidhani atasema anataka kuondoka kukimbia yeye na mtoto wake kutoka hiyo nyumba isiyo na amani. eti anataka kujiua , mmmh. anyway huenda ana tatizo lingine linalomfanya asione umuhimu wa mtoto isipokuwa umuhimu wa mume mtesaji na magari aliyo mununulia mume
 
Gugu why do you call your self a looser,i dont think you can stand alone if at all you have jesus with you.
By the way how old are you,Cause i feel that you are going to be stolen with every thing very soon with your rude guy.
But jumastephen2003@yahoo.co.uk can help you with advice.
 
Nimebaini majina ya ajabu unayotumia huku kunidhalilisha. Wewe ndiye umekuwa tatizo, sasa unakuja hapa kunidhalilisha, hata namba yangu umewapa watu wananisumbua na kunikebehi. Nadhani huu ndio mwanzo wa mwisho wetu. Nimekuchoka mama S.
 
gugu Never succumb to self pity. Loosing a battle or everything you thought you possess will bring you moment of sadness, but when those moments pass you will discover the hidden strength that exists in you. That strength will increase self respect to yourself. Despite your heart being filled with fear your faith will be alive in your soul and that will drive you forward, and you will have a joy of saying...I survived that.

Take advantage of this moment of defeat to rest, heal your wound and devise new strategy where things went wrong to create the better in you. The previous defeat means that this time you must win because you don't wanna suffer the same pain again.

Only he who gives up is defeated, everyone else is victorious.
 
Last edited by a moderator:
Heee tafadhari ndugu yangu usijaribu jambo hilo kumbuka mlango mmoja wa riziki kumi ya mungu hufunguka. Remember you was born nothing and acquired all the wealth you have sio mbaya kama utaanza tena.
 
Wanajf wenzangu, I have going thru hell in my marriage that I don't see the future anymore. I love my husband verymuch but I have lived a lif of constant emotional abuse that I feel like I am nothing. What has made me survive to this point is my son and the only one I have. I realized due to some complication I had, I can not gice birth again.
My husband is ever nagging, accusing and he even once bit me and tore my clothes infont of his father and family. He has a habit of comin back in the mornings and I'm not allowed to ask. I have a job well paid bt it is the only imcome we use for school fees, bills and other payments. I managed thru kuhangaika nikapata mabasi which he gladly put his names and excluded me, at first I didn't worry. Now he is mistreating me and since 5 days ago asked why he came back six in the morning he moved out of the house. Wana Jf I am tempted to take ma life I have tried with some medicine with alcohol and hasn't helped. I have no one to talk to what do I do....

Ni pm may be i can help you
 
JF huwa inafurahisha kweli inapokuja michango ya mahusiano kuna watu humu wananchangia utadhani wanauzoefu wa mahusiano over years and years kumbe wako kwenye Ugirl friend na U Boy Friend wengine wezi wa wame za wetu humu balaa. Mimi yangu haya hapa ndugu yangu Guru.
TAFAKARI, Jitahidi kuishi hivi:
(1) Usimchukie yeyote, Hata kama atakukosea vipi
(2) Ishi Maisha ya kawaida, Hata kama upo juu
(3) Tarajia ushindi, Hata kama Mapito ni magumu
(4) Toa maamuzi yako, Hata kama utashawishiwa
(5) Onesha tabasam, Hata kama Moyo unavuja Damu
(6) Usiache kuwaombea maadui zako na kumweka Mungu mbele katika kila jambo!

Duh...kumbe Akili Unazo! ni ke? aseee!

CC Asprin
 
Last edited by a moderator:
Unatoa roho kwa ajili ya mwanaume we vipi. jibebe na mtoto au watoto wako na vyeti vyako tu. kaanzie hapo vingine mwachie vyote. we vipi umeniudhi sana.
 
Naamini umesikia yote yaliyosemwa na wana MMU sina cha kuongeza ila USIJIUE USIJIUE, maisha yako yana thamani kuliko hiyo ndoa yenye mizengwe mingi kumbuka ukifa wewe after few days jamaa ataweka kitu kipya ndani ya nyumba na mali ulizochuma wewe watatumia wengine pengine hata mwanao hataonja cent. Dear life is too big just think outside the box. Walk out from that marriage and start a fresh. Usiishi maisha ya kubembeleza binadamu asiyejali sana sana anakuumiza na kuomba ufe leo kesho.
 
Hahahaha, tena ngoja nimake hii clear maana si wewe tu hata mlongo wako snowhite anachanganyikiwa na uhusiano wangu na the big boss in the big bass ( The Boss ); huyu ni kaka, lakini he is just too good and 'you know what l mean' to be just kaka; maana tulikuwa tunajikuta tunaoneana wivu. so baada ya kujitafakari na kwa msaada wa kaka mwingine KIKUNGU tukakubaliana tuende mbele zaidi. So kwa kinyamwezi we are very right, maana wanasema kaka yako ni mume wa maisha.
So no matter where l go or where he goes we can always find each other; so ni sawa na open marriage na ndio maana Kikungu alisisitiza niwe mkewe wa wakati wa raha tu, shida zikianza naweza ondoka na kwenda kungine; na yeye akiniona sio sexy any more anaweza tafuta kidada kingine lakini we can always come back to each other.

So this is the arrangement!
Ni kweli Kaunga kwa kinyamwezi hivyo ndivyo ilivyo mwaya. Mambo lkn habari za siku.
 
Last edited by a moderator:
wala siyo lako ila Generally huwa watu wanakuwa wakufunzi balaa kwenye hii mada halafu ukibahatika kukutana naye halafu ukauliza amepitia mangapi au anauelewa gani kwenye hii anga mungu angu utasema kwa nini unamshauri afanye kitu ambacho hata mshauri hajawahi fanya?
ha haaa, lol!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom