Kaunga
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 12,530
- 13,469
Yeye mwenyewe anajiita gugu! Alianza kujikana sku nyigi. .
yaani kitendo cha KUFIKIRIA KUUTOA UHAI WAKE kisa mwanaume kimenisikitisha sana kwakweli, tena ni mmama huyo anafikiria hivyo, so selfish of her.
ukishakuwa mzazi, maisha yako tena a large part should be around the being uliomleta duniani. Kila kitu unachofanya unatakiwa umfikirie mtoto; sasa imagine mtu anataka kumuacha mtoto yatima tena anamuachia huyo mbaba ambaye yeye amekuwa abused kwa mtoto itakuwaje?