My laptop crushed

NguoYaSikuKuu

JF-Expert Member
Jul 3, 2013
595
712
Nimetoka nayo safari bush... Usiku wake nilikuwa naitumia.
Nikaamka nikaiweka kwa bag tayari kwa safari.
Nimefika nyumbani..haiwaki kabisaa!!
Ni dell vostro. Nnayo kwa mwezi wa tatu sasa.
Inawaka button ya kuingiza charge tu.
Tatizo nini??!!
 
It can be that you prematurely shut it down while it was in a process of installing/ uninstalling a programme, or its operating system has been attacked by a malware. The best solution is for you to look for and install another Opperating System
 
1. Toa battery na kuiwasha bila battery.
2. If hakuna kitu chomoa hard drive na iwashe na check na msg inayotokea kama hakuna kitu hapo.

Tafuta wataalam wakusaidie kwa ajili ya ku-restore na kupakua data zako ziwe sawa.
 
Haiwaki hata Screen, Ningejua labda ni mambo ya BOOTSTRAP MANAGER. Imezima kabisa inawaka tu keyboard button ya kuingiza CHARGE
 
1. Toa battery na kuiwasha bila battery.
2. If hakuna kitu chomoa hard drive na iwashe na check na msg inayotokea kama hakuna kitu hapo.

Tafuta wataalam wakusaidie kwa ajili ya ku-restore na kupakua data zako ziwe sawa.
Nliitoa Battery Still Haiwaki.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom