umeona eeeeh!?!
hapo mimindo nilikuwa nahoji though sijajibiwa....NI AINA GANI YA NDOA HIYO?
1)ARRANGED MARRIAGES?
2)LOVE MARRIAGES?
MIMI FESTILEDI USIPONIJIBU HILI SWALI NINASHINDWA KUKOMMENT!nitakuwa nakurupuka
unaiogopa jamii, jamii itakufikiriaje mkitengana, cjui familia yangu itanielewaje, watu wanaona ndoa kama vile adhabu ya milele kwa kuogopa jamii, kaka nampenda sana mr wangu, naipenda sana familia yangu lakini cpo tayari mtu kunitia uchizi na ndoa, cpo tayari kabisa.
Hebu basi printi hayo ma-ushauri wa Brandon umpelekee. Tena na tena nasema...Mungu wa huyu dada ni mkubwa sana kwani ndani ya mwezi mmoja jamaa atakuwa amesahaulika kama mtu aliyekojoa pembeni mwa njia..
Unajua mtoto anasababisha mtu aandikwe moyoni mwako kama vile tunavyoandikwa kwenye kitabu cha Mungu. Sasa huyu dada anangoja nini?
Hivi wewe bado unaamini kwenye hayo mambo? It can be either or neither of the above. Ila hakuna garantii kwamba mtazikana...
Mambo yakigoma kama hapa...mnakaa tena kwenye drawaing table. Sasa huyo dada inaonekana ameshindwa kumbana mumewe. Ndo maana tunajaribu kumpelekea stadi za maisha (ya ndoa) kupitia kwa shosti wake FL1. Upo hapo?
Na siyo kawaida yako!
ninachokiona na kukiamini kwenye hiyo ndoa tajwa hapo juu ni kwamba THE TWO SCENARIOS (arranged and love marriages) may have two different explanations.
katika LOVE MARIAGE ya kupretend kabisa ile HAIWEZEKANI KWAMBA NDOA INAFUNGWA NA NDANI YA MIEZI KADHAA TENA NA MTOTO HAMNA MTU ANAANZA KURUDI HOME AFTER 5 DAYS......yani ni kwamba praktikale ni kama haipo vile.....
na katika ARRANGED MARRIAGES,well...........!kuna a bunch of pages hapa za kuelezea hilo tu.
IMANI YANGU NI MOJA TU:kama hili swala LIPO kama lilivyoandikwa BASI KUNA SOMETHING BEHIND THE SCENE sisi tunaojadili hatujaambiwa
Mh! ndoa hii imenifanya nione yangu madogo! haijafikisha mwaka? hakuna watoto? tayari mume amepachoka home kiasi hicho? ameshindwa hata kupritend?
ywezekana wanandoa hawa hawakufahamiana vya kutosha kabla ya kuamua kuishi pamoja au walichaguliwa na wazazi.
sasa mimi hapo ndo ninapochoka!Baba Gift hawa wanandoa wamekuwa B/F na G/F for 2 years ndipo kwa ridhaa yao bila kuladhimishwa na mtu yoyote wakaamua kufunga ndoa yao takatifu na sisi tukiwa mashaidi wa kiapo chao ..
Haya tatizo nini mpaka huyu jamaa nahisi kaamua kukaa nje ya house kwa siku mbili na kutoa maelezo hataki?
ama ndio ile unaoa unakutana na mrembo mwingine unadhani ni bora zaidi ya mkeo na kwa vile anajua unaiba anakufanyia mautundu kama mzee Yusuph anayoimba unachanganyikiwa na kuamua lolote na liwe kwenye ndoa yako.
Na kama ni hivyo baada ya kukaa hizo 5 days nje kwa nini usingeendelea kukaa huko forever and ever then unaamua kurudi home kumpa mke machungu? akiuliza hutaki kuongea na kushusha kipigo?????????????????????????????????????
ninachokiona na kukiamini kwenye hiyo ndoa tajwa hapo juu ni kwamba THE TWO SCENARIOS (arranged and love marriages) may have two different explanations.
katika LOVE MARIAGE ya kupretend kabisa ile HAIWEZEKANI KWAMBA NDOA INAFUNGWA NA NDANI YA MIEZI KADHAA TENA NA MTOTO HAMNA MTU ANAANZA KURUDI HOME AFTER 5 DAYS......yani ni kwamba praktikale ni kama haipo vile.....
na katika ARRANGED MARRIAGES,well...........!kuna a bunch of pages hapa za kuelezea hilo tu.
IMANI YANGU NI MOJA TU:kama hili swala LIPO kama lilivyoandikwa BASI KUNA SOMETHING BEHIND THE SCENE sisi tunaojadili hatujaambiwa
ha ha ha!Na siyo kawaida yako!
hawa watakuwa walichaguliwa na wazazi, kama mlitafutana wenyewe na hamkujuana vzr lakini kuna busara za kikawaida tu za ku solve prblms mkaendelea na maisha...btw hakunaga kujuana vizuri kabla hamjaingia ndani,, humu ndio kila kitu, hata mkikaa uchumba wa 110yrs hamtajuana kama mkiingia kwenye game.
ha ha ha!
nakutakia majilio njema
sasa mimi hapo ndo ninapochoka!
lakini naamini kuna kitu NYUMA YA PAZIA
festiledi hebu funguka zaidi,kuna kitu unakificha hapa:doh:
havitoshi mkuu wangu!Kwani hivi tulivyoambiwa havitoshi kuonesha kuwa hiyo ndoa imechina?
Mh! ndoa hii imenifanya nione yangu madogo! haijafikisha mwaka? hakuna watoto? tayari mume amepachoka home kiasi hicho? ameshindwa hata kupritend?
ywezekana wanandoa hawa hawakufahamiana vya kutosha kabla ya kuamua kuishi pamoja au walichaguliwa na wazazi.
Nyamayao....
Hata kama wangechaguliwa na wapita njia...The bottom line ni kuwa wote tumeumbwa kwa nyama na damu...Hakuna ambaye anastahili kumnyanyasa mwenzake namna hiyo. Kama mwanaume ameamua kubadili mawazo kwa nini anamtesa dada wa watu kiasi hicho?
sasa mimi hapo ndo ninapochoka!
Lakini naamini kuna kitu nyuma ya pazia
festiledi hebu funguka zaidi,kuna kitu unakificha hapa:doh:
Hommie