The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,072
Why do i have a feeling that this guy is married somewhere else as well.
Dada Nyamayao,
Sina hakika kama watu wanajua kuwa dawa kuu ya stress ni kuongea. Inasaidia kupunguza maumifu yanayosababishwa na maswali mengi ambayo mtu huendeleaa kujiuliza pale anapoamua kumeza mambo rohoni. Siwezi kumshauri mtu kutumia njia ya kukaa kimya. Tit for tat...mnamalizana na kuendelea na mambo mengine. Unaweka rohoni kwani pesa unataka ukaweke bank kesho yake??
Mkuu naomba mwongozo kidogo hapoPole sana kwa matatizo yaliyokupata (yaliyompata rafiki yako). Nashindwa nianzaje lakini naamini suluhisho la matatizo mengi yaliyonje ya uwezo wa mwanadamu siku zote ni Mungu. Inawezekana wewe si muani wa huyo tunayemuita Mungu lakini nakusihi chukua hatua mjaribu leo. Piga magoti, umlilie yeye aliyekupa mume ambadilishe. Kuvunja ndoa siyo mwisho wa tatizo. Hakuna aliyeiona kesho isipokuwa Mungu peke yake. Hujui nini kitatokea next baada ya kuvunja hiyo ndoa iwapo utaamua kufanya hivyo. Nakushauri, ikiwezekana wala usiseme naye juu ya hilo kama mwenye anavyosema wewe Sema na Mungu. Mwambie Mungu yeye ni jibu la matatizo yote. Atambadilisha kuanzia jinsi anavyofikiri mpaka matendo yake. Atampa hekima na upendo. Unapoamua kumtegemea Mungu, jitoe mzima mzima, usichanganye mambo. Usilie, usihuzunike jibu lako lipo kwa Mungu. Mungu anakupenda, anakuwazia mema siku zote. Mungu akusaidie.
@FL1
ndugu yangu naomba niseme ukweli... the guy must be gay!!!
tulivyoumbwa na muumbam, huwezi kuwa kichwa cha nyumba halafu ukawa unahanjahanja bila kujua kiwiliwili kiko wapi... kama sio gay basi ni hawa spoilt boys na wako wengi sana, hawataki kuwa rsponsible na acts zao... they still think they are "mammy's boy"
to cut the story short, huyo bidada
- aweke mguu chini achape mbuga siku tatu tu, uone huyo jamaa atakavyovhenji
- then wakae chini, tena kiutemi kuweka protocols za ndoa yao
- tatu jamaa aseme huwa anaenda wapi
i have seen a case, kajamaa kanaenda kwao for a week halafu mdada analia, that is not just spoiling the boy, and by doing so, be sure that you are going to spoil the kids
yeah.. but lincoln kasema ajitoe mzima-mzima ndio nasubiri unajitoaje mzima mzima?Cousin kilichobaki ndio hicho kupelekana kitemi no any other solution
Dada Nyamayao,
Sina hakika kama watu wanajua kuwa dawa kuu ya stress ni kuongea. Inasaidia kupunguza maumifu yanayosababishwa na maswali mengi ambayo mtu huendeleaa kujiuliza pale anapoamua kumeza mambo rohoni. Siwezi kumshauri mtu kutumia njia ya kukaa kimya. Tit for tat...mnamalizana na kuendelea na mambo mengine. Unaweka rohoni kwani pesa unataka ukaweke bank kesho yake??
Thanks...haya ni maswaiba kwa kweli huyu dada anasoma comment zenu zote hapa ...naimani atafainyia kazi ushauri wa kila mmoja anaupata
:evil: Dont feel sad my dada be happy and just trust in Jesus Christ, pls dont try to get away but love ur husband and be polite the only solution is to pray for him iam sure he will get back again.
pole sana Mungu akutie nguvu.
Pole sana kwa matatizo yaliyokupata (yaliyompata rafiki yako). Nashindwa nianzaje lakini naamini suluhisho la matatizo mengi yaliyonje ya uwezo wa mwanadamu siku zote ni Mungu. Inawezekana wewe si muani wa huyo tunayemuita Mungu lakini nakusihi chukua hatua mjaribu leo. Piga magoti, umlilie yeye aliyekupa mume ambadilishe. Kuvunja ndoa siyo mwisho wa tatizo. Hakuna aliyeiona kesho isipokuwa Mungu peke yake. Hujui nini kitatokea next baada ya kuvunja hiyo ndoa iwapo utaamua kufanya hivyo. Nakushauri, ikiwezekana wala usiseme naye juu ya hilo kama mwenye anavyosema wewe Sema na Mungu. Mwambie Mungu yeye ni jibu la matatizo yote. Atambadilisha kuanzia jinsi anavyofikiri mpaka matendo yake. Atampa hekima na upendo. Unapoamua kumtegemea Mungu, jitoe mzima mzima, usichanganye mambo. Usilie, usihuzunike jibu lako lipo kwa Mungu. Mungu anakupenda, anakuwazia mema siku zote. Mungu akusaidie.
yeah.. but lincoln kasema ajitoe mzima-mzima ndio nasubiri unajitoaje mzima mzima?
hata kama angekuwa na tatizo ndani ya ndoa yake, as a gentleman angekuwa wa kwanza kuinusuru ndoa yake kwa namna moja au nyingine kama kweli mapenzi/upendo upo, atackia kipi cha mkewe akakifanyia kazi bila kumshirikisha mkewe ambae ndio mhucka wa kitendo? atakuwa chizi bac.
Haya mambo ni magumu sana. Hapo alipofikia sina hakika kama muda wa kuomba na kulia lia kama bado anao. Kuna dada mmoja aliamua kuokoka na kuomba. Alizunguka makanisa ya kilokole kibao wakati huo mumewe anachapa larger kwa sana kuchakachua kuanzia beki 3, ndugu wa karibu na viruka njia wa mitaani. Mwishowe aliamua kubwaga manyanga na sasa hivi anaishi vizuri na watoto wake. Nadhani siyo kila wakati 2+2=4.
yeah.. but lincoln kasema ajitoe mzima-mzima ndio nasubiri unajitoaje mzima mzima?
Agreed cousin... solution bora ni ile inayoaddress the whole context... and content hii ya kuchagua one solution ni mbaya sanaKama atajitoa mzima kwa zile solution tatu ulizoziainisha its well and good na ndicho anapaswa kufanya otherwise nachokiona hapa ni self destruction
umenimaliza kaka....mie ctapata ucngizi kabisa, kwanza ntaumwa....kwanini niikae nacho na nipo nae hapo kitandani?
Haya mambo ni magumu sana. Hapo alipofikia sina hakika kama muda wa kuomba na kulia lia kama bado anao. Kuna dada mmoja aliamua kuokoka na kuomba. Alizunguka makanisa ya kilokole kibao wakati huo mumewe anachapa larger kwa sana kuchakachua kuanzia beki 3, ndugu wa karibu na viruka njia wa mitaani. Mwishowe aliamua kubwaga manyanga na sasa hivi anaishi vizuri na watoto wake. Nadhani siyo kila wakati 2+2=4.
Yaani Nyamayao natamani nikaongee na hilo jamaa ila nahci linaweza kunipalkama linavyomfanya wife wake ..nikaondoka na manundu
Ndoa zingine jamani zisikieni tu
sasa hayo ya kushina makanisani full time sijui kama huwa yanajenga familia bora au bora familia... anyway tuko sensitive sana na dini, i better end up herendio mwanzo wa mtu kuokoka, kushinda kanisani ukiomba, mara unahubiri masokoni, kisa cha kujitia uchizi ni nn? jisaidie nae atakusaidia.
Agreed cousin... solution bora ni ile inayoaddress the whole context... and content hii ya kuchagua one solution ni mbaya sana
it takes two to tangle