My Husband Is Acting Funny ..msaada pls

sioni kwanini mdada aendelee kuwa na huyo mtu jamani, kweli watu tunatofautiana sana, mie binadamu mwenzangu hanipotezei malengo yangu ya maisha kabisa.

we dnt have a kid yet. & we ar not a yr old in marriage yet!!!
Hapo ndio nimechoka kabisa hata ushauri ukija kichwani ghafla unapotea hii kitu ngumu aisee
 
yaani jamani ndoa haijavunjwa hata bikira vizuri waanze kupeleka matatizo kwa wazazi? amkomalie kwanza mwenyewe wazazi ni baada ya kuona hakuna mabadiliko.

Naona dada wa watu amemkomalia hadi kabwaga manyanga ila naona angeipeleka KANISANI kwanza
 
Finest, ndoa mbichi kiac hiki muanze kupelekana huku na kule ni kuzidi kupunguziana cku za kuishi tu, kama wanandoa mkishindwa kuweka mambo mezani wenyewe, hao wajao kuwasaidia kuweka sawa pia hawataweza, muanze kukubali mabadiliko wenyewe kwanza.
 
Good day all,
Nimejaribu kuwa mwanamke mwema kwa mme wangu , but on every little row we have, he leaves home for 5 days without coming back, when i call he doesnt pik up,neither does he calls. i dont knw whr he sleeps nor eats. & he coms bk later on,no apology, no explanations,even wen i try to probe, he says he doesnt want to talk abt it. we dnt have a kid yet. & we ar not a yr old in marriage yet!!! pls wives, wot have i done wrg? dont u guys also have rows , i feel like gettin away from him, i cant trust him anymore.i think he doesnt lov me again. pls your advise...

Not me ..huyu mwanamama anaomba msaada wenu kimawazo

Running 4rm da problem is not a solution!If u can jus try 2 insit him and talk 2 him politely so dat u can solve the problem b4 its 2 late. If u really love him thn u shld fight 4 his luv and not 2 give up easily!
 
Finest, ndoa mbichi kiac hiki muanze kupelekana huku na kule ni kuzidi kupunguziana cku za kuishi tu, kama wanandoa mkishindwa kuweka mambo mezani wenyewe, hao wajao kuwasaidia kuweka sawa pia hawataweza, muanze kukubali mabadiliko wenyewe kwanza.

Kwa maelezo ya huyo dada anasema akitaka kuongea na jamaa, "even wen i try to probe, he says he doesnt want to talk abt it." jamaa hataki sasa Nyamayao mwanaume kama huyu si anafaa kuitiwa kikao kama nyie wawili mmoja wenu hataki kujadili tatizo ni nini, kwa maana hiyo ni kuwa unamuacha mwenzio njia panda asijue la kufanya mimi naona ni bora either awashirikishe hao waliokuwa wasimamizi wa ndoa yao aongee nao sababu itaenda hivi hadi lini vitu vingine hauna jinsi inabidi iwe hivyo
 
NB;Not me ..huyu mwanamama anaomba msaada wenu kimawazo

Anasubiri nini huyo mdada ...achape lapa... aachane naye au anasubiri mpaka apigwe makonde:doh:
 
Running 4rm da problem is not a solution!If u can jus try 2 insit him and talk 2 him politely so dat u can solve the problem b4 its 2 late. If u really love him thn u shld fight 4 his luv and not 2 give up easily!

Natofautiana sana na wewe. Hapo hakuna cha kuongea politely...Hawa wanatakiwa kukaa mezani kila mtu na bukta yake (ikibidi gloves mikononi) na ku-redefine terms. Inawezekana hawakuwekana sawa kabla ya kuanza ndoa. Walidhani ndoa ni biashara ya ndombolo tu.

Halafu huyu dada ana bahati sana. Mambo yamekuwa wazi katika muda mfupi na hana mtoto. Ningeshauri asizae hata kwa mabomu, mizinga na vifaru hadi kila kitu kimekaa vizuri. Akizubaa hapa imekula kwake!
 
mmh, i think the lady should put her feet down , and now, akicheza atakuwa analea ugonjwa hivo, wanaume wa type hiyo huanza hivo, kujifanya wao ndo wana hasira sana, akianza kutorudi home siku, zinongezeka inakuwa wiki, mwisho itakuwa mwezi na mwaka, kisha miaka. so na mbaya zaidi akirudi eti hataki kuliongelea swala hilo, anacheza huyo, inakuwaje ulale nje siku 5 halafu urudi useme hujisikii kuliongelea hilo, thts crazy, amkumbushe yeye ni mkewe wa ndoa na sio hawara so he has to give a very good explanation, and plus he has to choose. Kma mwanaume anashindwa ku deal na matatizo ya ndoa yake anatoroka home, je yakija magumu zaidi anaweza kusimama? akue, aache utoto, au may be kawekwa kinyumba na mwanamke mwingine anakokimbilia kila mara akikosana na mkewe. Shost mwambie aweke mambo hadharani yawe discussed iiwe kwa padri au wazee wao, haya si mambo ya kulea hata kidogo.
 
Kwa maelezo ya huyo dada anasema akitaka kuongea na jamaa, "even wen i try to probe, he says he doesnt want to talk abt it." jamaa hataki sasa Nyamayao mwanaume kama huyu si anafaa kuitiwa kikao kama nyie wawili mmoja wenu hataki kujadili tatizo ni nini, kwa maana hiyo ni kuwaunamuacha mwenzio njia panda asijue la kufanya mimi naona ni bora either eti hao waliokuwa wasimamizi wa ndoa yao aongee nao sababu itaenda hivi hadi lini vitu vingine hauna jinsi inabidi iwe hivyo

Finest, jamaa hataki kuyaongea wa sababu huyo dada hajamfanya atake kuyaongea. Anakaa ana beg beg wakati funza wanatambaa miguu yote. Anatakiwa am-squeeze hadi aje kwenye meza ya majadiliano vinginveyo anasubiri nini? Mume akiondoka naye aishie zake aone kitakuwa nini. Kama mume atauchuna basi ahesabu kuwa ndoa hiyo haikuwe riziki!
 
Kweli kabisa DC nafikiri ile lugha ya kubeg beg aiweke kando maana ameishaitumia imeshindikana kilichobaki ni kum-squeeze jamaa ili waje kwenye meza ya majadiliano maana kadri mwanamke anayozidi ku-beg na ndio jamaa anavyozidi kuendelea na hulka yake maana iko siku atakaa hata mwezi mmoja hajarudi home na akirudi mwanamke akimuuliza anaweza akaishia kuambulia makofi huko ndiko inakoelekea kama hajachukua juhudi za makusudi za kulivalia njuga suala hili
 
Finest, ndoa mbichi kiac hiki muanze kupelekana huku na kule ni kuzidi kupunguziana cku za kuishi tu, kama wanandoa mkishindwa kuweka mambo mezani wenyewe, hao wajao kuwasaidia kuweka sawa pia hawataweza, muanze kukubali mabadiliko wenyewe kwanza.

Hii ni kweli kabisa rafiki. kwa kweli I hate kupeleka mambo ya ndoa yangu kwa yeyote yule (padre, mama, mama mkwe, rafiki yangu, rafiki wa mume etc.) huyo ni mume wangu, so nitaongea naye mwenyewe. kama hanisikilizi na hataki kubadilika, then there is nothing that will change him.
tena huyo kama anasema hataki kuliongelea hilo, fine............. namwacha awe huru, na mimi na-take time yangu
 
Natofautiana sana na wewe. Hapo hakuna cha kuongea politely...Hawa wanatakiwa kukaa mezani kila mtu na bukta yake (ikibidi gloves mikononi) na ku-redefine terms. Inawezekana hawakuwekana sawa kabla ya kuanza ndoa. Walidhani ndoa ni biashara ya ndombolo tu.

Halafu huyu dada ana bahati sana. Mambo yamekuwa wazi katika muda mfupi na hana mtoto. Ningeshauri asizae hata kwa mabomu, mizinga na vifaru hadi kila kitu kimekaa vizuri. Akizubaa hapa imekula kwake!

Hilo ndo la maana, labda kama anataka mtoto kwa huyo mwanaume, na hana tena mpango wa kuolewa.............. otherwise awahi umati huyo dada
 
Hapo ndio nimechoka kabisa hata ushauri ukija kichwani ghafla unapotea hii kitu ngumu aisee

Jaribu tu kuchakachua Mkwe! haya mambo unaweza kuoa kumbe katika msafara wa harusi Flower girls akakuvutia ukaanza kupanga mpaka wa kuchakachua baada ya harusi
 
Hii ni kweli kabisa rafiki. kwa kweli I hate kupeleka mambo ya ndoa yangu kwa yeyote yule (padre, mama, mama mkwe, rafiki yangu, rafiki wa mume etc.) huyo ni mume wangu, so nitaongea naye mwenyewe. kama hanisikilizi na hataki kubadilika, then there is nothing that will change him.
tena huyo kama anasema hataki kuliongelea hilo, fine............. namwacha awe huru, na mimi na-take time yangu

Mtu mwenya akili na utashi utapelekaje mambo yako kwa watu wengine?

Labda niulize kidogo..Hivi watu wote tunaingia kwenye ndoa tukitegemea kuwa kila kitu kitaenda vizuri (100%) hadi huko kufa na kuzikana?
Kama si hivyo huyo dada ajue ndoa yake inakaribia tamati na afanye last attempt kuokoa jahazi.
 
Finest, jamaa hataki kuyaongea wa sababu huyo dada hajamfanya atake kuyaongea. Anakaa ana beg beg wakati funza wanatambaa miguu yote. Anatakiwa am-squeeze hadi aje kwenye meza ya majadiliano vinginveyo anasubiri nini? Mume akiondoka naye aishie zake aone kitakuwa nini. Kama mume atauchuna basi ahesabu kuwa ndoa hiyo haikuwe riziki!

lakini wamama ndo kawaida yetu, yanapoanza inabidi ubeg beg ukidhani ndo utamrudisha. kumbe sometimes mijamaa inahitaji kubuluzwa, unakuja kulijua hilo muda umeshapita............. so tusimlaumu sana
 
y
mmh hapo kuna kitu jamani haiwezekani ndoa haina hata mwaka wala mtoto mambo yaende hivyo coz me huwa najua watu wanachokana baada ya miaka kadhaa au kama kuna kitu kimetokea,maskini nampa pole ameanzakuona machungu ya ndoa mapema sana,jamani naogopa hiyo kitu mimi.duh

Mie nikimtizama huyu Binti sioni tatizo kweli haya mambo ya ndani huwezi jua ila swali analojiuliza sasa kama ndoa ni changa mambo yamekuwa hivi watafika katika safari yao?
 
Kwa maelezo ya huyo dada anasema akitaka kuongea na jamaa, "even wen i try to probe, he says he doesnt want to talk abt it." jamaa hataki sasa Nyamayao mwanaume kama huyu si anafaa kuitiwa kikao kama nyie wawili mmoja wenu hataki kujadili tatizo ni nini, kwa maana hiyo ni kuwa unamuacha mwenzio njia panda asijue la kufanya mimi naona ni bora either awashirikishe hao waliokuwa wasimamizi wa ndoa yao aongee nao sababu itaenda hivi hadi lini vitu vingine hauna jinsi inabidi iwe hivyo

kama Nyamayao...ningefanya maarifa ya aina yoyote tuweze kuongelea hii ishu, hata kwa kucndikiza na ugomvi lakini akae chini tuckilizane, huwa naamini hakuna mtu anaeweza kutatua matatizo ya watu wanaojifunika shuka moja kama sio wao wenyewe, mie mpaka sasa pa1 na matatizo yote niliyopitia ckuwahi kupata akili ya kusema eti nishirikishe mtu aje atatue, nilikuwa naongea na mama nyamayao/my sis kwa kupata mawazo mawili matatu, sio kwa wao kuja kwangu na kuweka kikao, na yeye nilishamwambia/anajua hilo kwamba kama mie na yeye tukashindwa kufikia muafaka wa jambo bac na bora tujue tumeshindwana tu, utalalamika eg kwa mama mkwe, unategema atatatua lolote juu ya mwanae zaidi ya kuambiwa "vumilia ndio wanaume walivyo"
 
Mtu mwenya akili na utashi utapelekaje mambo yako kwa watu wengine?

Labda niulize kidogo..Hivi watu wote tunaingia kwenye ndoa tukitegemea kuwa kila kitu kitaenda vizuri (100%) hadi huko kufa na kuzikana?
Kama si hivyo huyo dada ajue ndoa yake inakaribia tamati na afanye last attempt kuokoa jahazi.

kama ulipokuwa unaishi na wazazi wako (I meana kabla ya kuoa/kuolewa) kila kitu kilikuwa kinaenda 100% then unaweza kuwaza kwenye ndoa ni hivyo hivyo. Imagine unaenda kuishi na mtu ambaye mmekutana ukubwani unategemea kila kitu kitakuwa 100% perfect? then u must be a bit crazy.
 
ha ha ha!
festiledi hebu ongea vizuri na bidada huyo!....mwambie ''amechakachua'' scenario ake!ni kama HAIJADILIKI VILE!ujue hata kule musoma pia hawaishi hivo

me nimecheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeka he he he he
 
y

Mie nikimtizama huyu Binti sioni tatizo kweli haya mambo ya ndani huwezi jua ila swali analojiuliza sasa kama ndoa ni changa mambo yamekuwa hivi watafika katika safari yao?

hebu muulize jamani, kama mkaka alichaguliwa mchumba na kuambiwa huyu hapa oa, au walikutana wao wenyewe wakapendana ki vyao mpaka ikafikia ndoa? mambo mengine ni magumu jamani mtu anakuona kinyaa ghafla na bila maelezo.
 
Back
Top Bottom