HA HA HA HA comment yako najaribu kupiga picha kwamba your in the shoes za yule mwanamke, nafikiri kwa HISANI YA MJ1 NA NYAMAYAO angefanya ile kazi, jamaa akirudi akiwa amelala ampitie juu na khanga au zile style za KAMASUTRA
...mmnnhh, 'kaka mshari' anaweza sema mkewe anamuwangia! ...ha ha ha!
Hahaha imetulia hii! Ila ka jamaa ni mpigaji atajuuta...Akiona vipi naye atest zali siku moja......the moment anaingia after hiyo refuge yake nawe tafuta kokoko zako, puliza uturi bi dada, jipure....... beba kibeti toka.......akiuliza uendako ......"Darl I dont want to talk bout it sweetheart......cheers" .....kwa tabasamu na bashasha zote toka. Nenda kwa ndugu yako yoyote au hata yake ambae mwaelewana.........sogoa dada kama vile hakuna lililotokea kwako. Rejea baada ya muda mrefu tu wa kutosha.... pita moja kwa moja bafuni, take your time kisha toka panguza miguu.... tinga jeans lol kuonyesha msisitizo kuwa huna haja ya "huduma" ......... shusha pumzi kuuubwa ya kuonyesha umechoka sana kabla hujablew a good nite kiss. ............In case akiuliza tena ulikokuwa.mjibu taratiiibu sana tena ikiwezekana sauti ipitishie mlango wa pua, ibane dada......tumia sauti ya kike huku ikisindikizwa na jicho la mahabat mwambie.................Baby am so tired (hapa unapiga na miayo ukijinyoosha na viungo)..... lets sleep.
Kwa jinsi watu wa aina yake walivyo...ni wepesi sana kupick up makosa yako na kusahau yake... atalianzisha tu yaani hatasubiri hadi kuche atadai maelezo....(kama hapigi) wala usijibishane naye kwa ukali wala kukurupuka kuwa mbona wewe huwa watoka, walala husemi ah......mwambie tu taratibu hun tutaongea kesho sasa hivi ni usiku. .......Ukiwa na bahati mtalala but the first kituo itakuwa kwa best man kwenda kukushtaki kuwa umeanza infiii......Hapo hapo ndo pa kulianzisha gumzo.:smile::hippie:
(Hivi nimeomba BAN eh??)
Akiona vipi naye atest zali siku moja......the moment anaingia after hiyo refuge yake nawe tafuta kokoko zako, puliza uturi bi dada, jipure....... beba kibeti toka.......akiuliza uendako ......"Darl I dont want to talk bout it sweetheart......cheers" .....kwa tabasamu na bashasha zote toka. Nenda kwa ndugu yako yoyote au hata yake ambae mwaelewana.........sogoa dada kama vile hakuna lililotokea kwako. Rejea baada ya muda mrefu tu wa kutosha.... pita moja kwa moja bafuni, take your time kisha toka panguza miguu.... tinga jeans lol kuonyesha msisitizo kuwa huna haja ya "huduma" ......... shusha pumzi kuuubwa ya kuonyesha umechoka sana kabla hujablew a good nite kiss. ............In case akiuliza tena ulikokuwa.mjibu taratiiibu sana tena ikiwezekana sauti ipitishie mlango wa pua, ibane dada......tumia sauti ya kike huku ikisindikizwa na jicho la mahabat mwambie.................Baby am so tired (hapa unapiga na miayo ukijinyoosha na viungo)..... lets sleep.

Sijakataa Chauro ni kweli kabisa usemayo wengine ndo unahalalisha vitendo vyake na usijeshangaa akianza kutumia ulichofanya kama ndo kisingizio BUT at least unapata picha ni jinsi gani anakuchukulia wewe ............ akiamua kutojali ni wazi hana love na wewe so hata ufanyeje hatakaa abadilike so akili kichwani kwako.mh!dhubutu MJI hujakutana na vichwa wewe mwingine ukifanya ivo ndo kama umempa ticket ya kuhama kabisa atakuwa anakuja kubeep tu kwako na wala hatakuuliza hapo ndo kichaa kitapokupanda zaidi unaweza taka vua nguo sehemu isiyostahili hawa viumbe wengine wanadharau mpaka visivozaraulika na wala hakufichi
Hicho kipigo atakachopata hatakisahau maishani enapo atapona kunyongwa kama kuku au kware!
DC kumbuka hapa tunatafuta chanzo - entry point ya kuanzisha mazungumzo ya kudiscuss behaviour zake- kama diplomacy imeshindikana we go for war to provoke.... na utakapoamua kupiga ndo umenifungulia mlango...............ndicho ninachokitaka.
Hivi nikijua kuna kasheshe siwezijiandaa ?akipiga kibao kimoja nikianguka chini na kuachia mambo hadharani au kujifanya kaua au ???? haiweki hii? just asking bana
Hivi MJ1 upo banned kweli?
Kamanda, kuna kadadaa mmoja alijaribu hiyo arusha... alinyolewa na panga mazee... mapunye si mapunye, nundu si nundu ilimradi alikua kama kinyago!!!!Akiona vipi naye atest zali siku moja......the moment anaingia after hiyo refuge yake nawe tafuta kokoko zako, puliza uturi bi dada, jipure....... beba kibeti toka.......akiuliza uendako ......"Darl I dont want to talk bout it sweetheart......cheers" .....kwa tabasamu na bashasha zote toka. Nenda kwa ndugu yako yoyote au hata yake ambae mwaelewana.........sogoa dada kama vile hakuna lililotokea kwako. Rejea baada ya muda mrefu tu wa kutosha.... pita moja kwa moja bafuni, take your time kisha toka panguza miguu.... tinga jeans lol kuonyesha msisitizo kuwa huna haja ya "huduma" ......... shusha pumzi kuuubwa ya kuonyesha umechoka sana kabla hujablew a good nite kiss. ............In case akiuliza tena ulikokuwa.mjibu taratiiibu sana tena ikiwezekana sauti ipitishie mlango wa pua, ibane dada......tumia sauti ya kike huku ikisindikizwa na jicho la mahabat mwambie.................Baby am so tired (hapa unapiga na miayo ukijinyoosha na viungo)..... lets sleep.
Kwa jinsi watu wa aina yake walivyo...ni wepesi sana kupick up makosa yako na kusahau yake... atalianzisha tu yaani hatasubiri hadi kuche atadai maelezo....(kama hapigi) wala usijibishane naye kwa ukali wala kukurupuka kuwa mbona wewe huwa watoka, walala husemi ah......mwambie tu taratibu hun tutaongea kesho sasa hivi ni usiku. .......Ukiwa na bahati mtalala but the first kituo itakuwa kwa best man kwenda kukushtaki kuwa umeanza infiii......Hapo hapo ndo pa kulianzisha gumzo.:smile::hippie:
(Hivi nimeomba BAN eh??)
Chauro... you ahve a good name...mh!dhubutu MJI hujakutana na vichwa wewe mwingine ukifanya ivo ndo kama umempa ticket ya kuhama kabisa atakuwa anakuja kubeep tu kwako na wala hatakuuliza hapo ndo kichaa kitapokupanda zaidi unaweza taka vua nguo sehemu isiyostahili hawa viumbe wengine wanadharau mpaka visivozaraulika na wala hakufichi
Kamanda, kuna kadadaa mmoja alijaribu hiyo arusha... alinyolewa na panga mazee... mapunye si mapunye, nundu si nundu ilimradi alikua kama kinyago!!!!
mambo mengine inabidi ucheki zali aisee... watu wenye hasira za ki-loning'o na alfayo ni balaah
Chauro... you ahve a good name...
sasa hiyo signature mbona karibia viendane na chauro?
Kamanda unanitisha... vipi tena?/ ni wewe anayezungumziwa au?Ofkoz unatizama na mtu wako ......ndio maana nikasema kama hapigi ila kama vipi ah............ jihami. Jamani this issue is of more emotional to me so I cant comment more.
aise ni kweli mazee... haya mambo bwana hayana kipimo kimoja... na hata kama kipo, huwa kinabadilika kila sekundewe acha si unaona hapo nimempa MJ maelezo ya kutosha ishakula kwangu wakati fulani....!
mh!dhubutu MJI hujakutana na vichwa wewe mwingine ukifanya ivo ndo kama umempa ticket ya kuhama kabisa atakuwa anakuja kubeep tu kwako na wala hatakuuliza hapo ndo kichaa kitapokupanda zaidi unaweza taka vua nguo sehemu isiyostahili hawa viumbe wengine wanadharau mpaka visivozaraulika na wala hakufichi
Sijakataa Chauro ni kweli kabisa usemayo wengine ndo unahalalisha vitendo vyake na usijeshangaa akianza kutumia ulichofanya kama ndo kisingizio BUT at least unapata picha ni jinsi gani anakuchukulia wewe ............ akiamua kutojali ni wazi hana love na wewe so hata ufanyeje hatakaa abadilike so akili kichwani kwako.