Niliona dada mmoja kila siku alikuwa anapewa mkong'oto na mmewe siku moja akatwangwa mpaka akazimia ..alipokuja kuzinduka na kupata nguvu akarudi kwa wazazi ile kufika anawapa sababu kwa nini yuko pale wakamwambia arudi kwa mmewe wataenda kuongea kama familia ..
ile amerudi kwa mmewe akakaa siku mbili mme akampa kipigo tena..
mama wa watu akaona isiwe tabu na alikuwa ni visenti vyake akatokomea kusikoeleweka na watoto wake wawili mme akahaha bila mafanikio miaka nenda miaka rudi ..kumbe mwana mama baada ya kuondoka alienda kwa shost wake mkoa wa mbali akamweleza yote.shost akampa mtaji mdogo miaka ile mdada akaanza kutinga kwa juhudi na maarifa mpaka akatoka akawa anafata pamba nje ya nchi mwisho wa siku kaolewa huko na watoto anasomesha jamaa nae alishaoa :smile-big:
i dont think was the best way, unless kama wali-divorce, if not hiyo degradation tu ya maana ya ndoa... sijui hali ya watoto ikoje
Good day all,
Nimejaribu kuwa mwanamke mwema kwa mme wangu , but on every little row we have, he leaves home for 5 days without coming back, when i call he doesnt pik up,neither does he calls. i dont knw whr he sleeps nor eats. & he coms bk later on,no apology, no explanations,even wen i try to probe, he says he doesnt want to talk abt it. we dnt have a kid yet. & we ar not a yr old in marriage yet!!! pls wives, wot have i done wrg? dont u guys also have rows , i feel like gettin away from him, i cant trust him anymore.i think he doesnt lov me again. pls your advise...
NB;Not me ..huyu mwanamama anaomba msaada wenu kimawazo
hawajakaa nae huyo.. akishawazoea utakuja kuwakuta na manundu kibao...aaaa kabisaaaaa!!! na wengine wanamgombania huyo huyo 'bwana masumbwi!'
ohooo, kumbe aliolewa na mzungu, safi... kuna sredi moja inazungumzia wazungu wanavyodiskasi dada zetu kwenye jukwaa la maria rozawatoto sasa wanasoma huko Uloyo sijui watakuwa na hali gani labda mzungu alishawajenga kisaikolojia:smile-big:
ohooo, kumbe aliolewa na mzungu, safi... kuna sredi moja inazungumzia wazungu wanavyodiskasi dada zetu kwenye jukwaa la maria roza
Nampongeza huyo dada, but do kids have access to their biological father?
we acha tu...Ile sredi nimechoka hatari kweli kweli
Hahahaaa... the human body is like that machine... and the best example is the GITThe system above resembles compressed air system. Any system that is designed to carry out pressurized air must have a relief valve, which acts as a safety valve when pressure surges. Mathematically, could be expressed as
.............................................
Emotionally ninachowezamshauri dada huyu ni kuwa kwa namna inavyoelekea amejitahidi kuwa mwema kwa mumewe ila tu bahati mbaya mumewe ndo aina ileeee ninayoijua mie MJ1. Kuna mawili dada ajichunguze kwanza huo wema wake- inawezekana anakuwa mwema kwa kukaa kimya akiogopa kumwuzi mumewe au anakuwa mwema kwa kuwa na nidhamu ya uwoga kwa mumewe. Hii haikusaidii wala kukutunuku cheti cha mke mwema. Kuwa mtiifu kwa nidhamu halali. wengine wanakuwa wake wema wa Usista kwa maana ya kuwa hata kufunua upaja kimtego anaona kama anajishushia heshima kwa mumewe sasa akikamatika huko nje outomatically anakuwa na hasira ya why amekuoa wewe -wife -sister na kuchelewa kukutana na Mwadawa ameyemwehusha akawehuka.(Why Men love Bitches) Jichunguze kwanza wema wako kama mke mwema ulikuwa ukoje kwa sababu kuwa mke mwema kunajumlisha nidhamu, utii, na tabia njema kwa mumeo pamoja na kuwa na uwezo wa kuzo wa kukemea pale anapokosea /kueleza feelings zako unapokosewa/ kumfurahisha unapofurahishwa.
Kama hayo yote umefanya na bado hali ni tete, basi anatakiwa auvae ukichaa hata wa siku moja. Hata kama ikibidi siku anayorudi baada ya kulala nje panda juu ya meza na usimamie kidole gumba, awake hadi kieleweke masuala ya I dont want talk about it hakuna mwambie atasema. Atatishia kupiga bibi jiandae, na atakaponyanyua mkono kukupiga yaani fanya kituko cha mwaka, chochote kile lakini aelewe kuwa umechoka na tabia hiyo ya kinyanyasaji. Ikishindikana bidada peleka kwa wazee.
(Samahanini am too emotional leo, ndo maana nikaomba BAN- na ninaomba Mods msini-BANNUE hadi siku tatu zipite. Seriously)

Ile sredi nimechoka hatari kweli kweliohooo, kumbe aliolewa na mzungu, safi... kuna sredi moja inazungumzia wazungu wanavyodiskasi dada zetu kwenye jukwaa la maria roza
Nampongeza huyo dada, but do kids have access to their biological father?
ha ha ha ha!Emotionally ninachowezamshauri dada huyu ni kuwa kwa namna inavyoelekea amejitahidi kuwa mwema kwa mumewe ila tu bahati mbaya mumewe ndo aina ileeee ninayoijua mie MJ1. Kuna mawili dada ajichunguze kwanza huo wema wake- inawezekana anakuwa mwema kwa kukaa kimya akiogopa kumwuzi mumewe au anakuwa mwema kwa kuwa na nidhamu ya uwoga kwa mumewe. Hii haikusaidii wala kukutunuku cheti cha mke mwema. Kuwa mtiifu kwa nidhamu halali. wengine wanakuwa wake wema wa Usista kwa maana ya kuwa hata kufunua upaja kimtego anaona kama anajishushia heshima kwa mumewe sasa akikamatika huko nje outomatically anakuwa na hasira ya why amekuoa wewe -wife -sister na kuchelewa kukutana na Mwadawa ameyemwehusha akawehuka.(Why Men love Bitches) Jichunguze kwanza wema wako kama mke mwema ulikuwa ukoje kwa sababu kuwa mke mwema kunajumlisha nidhamu, utii, na tabia njema kwa mumeo pamoja na kuwa na uwezo wa kuzo wa kukemea pale anapokosea /kueleza feelings zako unapokosewa/ kumfurahisha unapofurahishwa.
Kama hayo yote umefanya na bado hali ni tete, basi anatakiwa auvae ukichaa hata wa siku moja. Hata kama ikibidi siku anayorudi baada ya kulala nje panda juu ya meza na usimamie kidole gumba, awake hadi kieleweke masuala ya I dont want talk about it hakuna mwambie atasema. Atatishia kupiga bibi jiandae, na atakaponyanyua mkono kukupiga yaani fanya kituko cha mwaka, chochote kile lakini aelewe kuwa umechoka na tabia hiyo ya kinyanyasaji. Ikishindikana bidada peleka kwa wazee.
(Samahanini am too emotional leo, ndo maana nikaomba BAN- na ninaomba Mods msini-BANNUE hadi siku tatu zipite. Seriously)
Emotionally ninachowezamshauri dada huyu ni kuwa kwa namna inavyoelekea amejitahidi kuwa mwema kwa mumewe ila tu bahati mbaya mumewe ndo aina ileeee ninayoijua mie MJ1. Kuna mawili dada ajichunguze kwanza huo wema wake- inawezekana anakuwa mwema kwa kukaa kimya akiogopa kumwuzi mumewe au anakuwa mwema kwa kuwa na nidhamu ya uwoga kwa mumewe. Hii haikusaidii wala kukutunuku cheti cha mke mwema. Kuwa mtiifu kwa nidhamu halali. wengine wanakuwa wake wema wa Usista kwa maana ya kuwa hata kufunua upaja kimtego anaona kama anajishushia heshima kwa mumewe sasa akikamatika huko nje outomatically anakuwa na hasira ya why amekuoa wewe -wife -sister na kuchelewa kukutana na Mwadawa ameyemwehusha akawehuka.(Why Men love Bitches) Jichunguze kwanza wema wako kama mke mwema ulikuwa ukoje kwa sababu kuwa mke mwema kunajumlisha nidhamu, utii, na tabia njema kwa mumeo pamoja na kuwa na uwezo wa kuzo wa kukemea pale anapokosea /kueleza feelings zako unapokosewa/ kumfurahisha unapofurahishwa.
Kama hayo yote umefanya na bado hali ni tete, basi anatakiwa auvae ukichaa hata wa siku moja. Hata kama ikibidi siku anayorudi baada ya kulala nje panda juu ya meza na usimamie kidole gumba, awake hadi kieleweke masuala ya I dont want talk about it hakuna mwambie atasema. Atatishia kupiga bibi jiandae, na atakaponyanyua mkono kukupiga yaani fanya kituko cha mwaka, chochote kile lakini aelewe kuwa umechoka na tabia hiyo ya kinyanyasaji. Ikishindikana bidada peleka kwa wazee.
(Samahanini am too emotional leo, ndo maana nikaomba BAN- na ninaomba Mods msini-BANNUE hadi siku tatu zipite. Seriously)
ipo wapi hiyo? hebu ifufueni nami niambulie darasa- mawili matatu...huwezi jua bana,...naweza takwa ushauri nikajifanya najenga kumbe nabomoa!
Kamanda leo umekula nini? Mjusi?
The FinestI am sure ule muda wote ambao haukuwepo hapa wakati tunachangia, ulikuwa unagonga valuu kwanza ili akili ikae vizuri for this umesomeka na ukaeleweka ngoja niwahi kupata Ballantine kwanza na kwa hii comment yako kuna chupa yako ya Black Label ukitoka ipitie.
The Finest
Tafadhali usini-BANNUE mwenzio nimeomba mod wani-BAN