My hubby is in love with boflo

Panaweza kumfaa ila hadi afanye malipizi. Kula mkate sehemu ya kitumbua sio kitu kidogo!

Hahahaha naona umemwelewa Kaunga sasa......akili yangu nyembamba bado haijajua methali.....nifafanulie hiyo ya kula mkate tafadhali!
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha naona umemwelewa Kaunga sasa......akili yangu nyembamba bado haijajua methali.....nifafanulie hiyo ya kula mkate tafadhali!

Jamani ni mkate tu wa Boflo na si kingine! LOL
Mzima wewe lkn?
 
Last edited by a moderator:
angepata vitumbua vya kingwangala angevipenda , angeachana na boflo, chezeaaaa
 
uuuuhhh sasa huku kuchoshanaaa naombeni kujua kwanza humu ndani si kuna ''BOFLO''?? Je ni ''ME'' AU ''KE''???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom