sawa.....namna ya kummention mtu
bonyeza shift halafu @, halafu andika jina la huyo mtu, atapata mention
nb:
usitenganishe alama @ na jina la member, unaunganisha km sentensi moja!!!!
shukrani!!!!
mfano unataka ku-mention Heaven on earth kwenye hii sentensi!!
''........wewe
Heaven on earth unampenda sana
UNDENIABLE, mm nimekustukia kitambo sana,
'