Fbn JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 15,749 Reaction score 37,413 Jun 14, 2025 #1 Babu zetu wangejua haya leo tusinge kuwa tunashindana na Tlaatlaah na Lucas Mwashambwa kama babu zao walivyo wafanya baba zao kuzaa hao ID zao.
Babu zetu wangejua haya leo tusinge kuwa tunashindana na Tlaatlaah na Lucas Mwashambwa kama babu zao walivyo wafanya baba zao kuzaa hao ID zao.
Joannah JF-Expert Member Joined May 8, 2020 Posts 22,721 Reaction score 54,652 Jun 14, 2025 #2 Uache kutafuta hela unaanza kuwalaumu marehemu...na wewe usipojituma utakuwa kama yeye miaka 50 ijayo
Uache kutafuta hela unaanza kuwalaumu marehemu...na wewe usipojituma utakuwa kama yeye miaka 50 ijayo
Fbn JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 15,749 Reaction score 37,413 Jun 15, 2025 Thread starter #3 Joannah said: Uache kutafuta hela unaanza kuwalaumu marehemu...na wewe usipojituma utakuwa kama yeye miaka 50 ijayo Click to expand... Unajua kwa nini Mo ni tajiri na wewe umekuwa mpashukuna.
Joannah said: Uache kutafuta hela unaanza kuwalaumu marehemu...na wewe usipojituma utakuwa kama yeye miaka 50 ijayo Click to expand... Unajua kwa nini Mo ni tajiri na wewe umekuwa mpashukuna.
Ligaba JF-Expert Member Joined Oct 12, 2018 Posts 1,071 Reaction score 2,889 Jun 15, 2025 #4 Sikia na wewe usiache kupora mapori vijijini ubaki kung'ang'ania mjini ambako ukifanikiwa utanunua 20x20
Sikia na wewe usiache kupora mapori vijijini ubaki kung'ang'ania mjini ambako ukifanikiwa utanunua 20x20
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 178,393 Reaction score 196,140 Mar 21, 2026 #5 Mambo yao waachieni wenyewe... Baby Bommers hao... Cc: Mahondaw